Na yote roho mbaya ilianzishwa na mkenya baada ya kujitenga na kua mbinafsiIf at all kungekuwa na kuaminiana kuacha nationalist politics nk hii region ingekuwa moto kuliko region yeyote ya Africa ila ndio hivyo tena naona kila mmoja anavuta kwake hata ile miradi ya pamoja ya kimkakati sioni tena
Naona Utalii mmeanza kurealise kuwa TANZANIA itawachapa iwe isiwe, Assembly plants zije tu. We are mkre than readu to accept as long as watatiina kufuata taratibu za TANZANIA ikiwemo local content stuffAs for my opinion ingefaa EAC countries zifanye specialization mambo ya car assembly yangebaki kenya afu agro processing plants,utalii na mining ingekuwa Tzn ingemake sense given nature ya kila nchi
Hii mambo ya magari ni too capital intensive na value chain yake ni ndogo sana compared na value addition agro industries ni vile huwezi chagulia investors au wako less informed
Mwalimu alitaka umoja utokee tangu the 60s ila wakenya wakaona hapana, wanajiweza kivyao, Amin na yeye akaleta udikteta, tukampindua na leo uganda iko hivyo kwa sababu ni sisi ndio tulicare. In the 80s TZ was richer than any EAC country, then tukaanza kusaidia Southern countries kupata freedom na tukaanza kuslow down.Tanzania siku zote imetaka ushirikiano na I hope mjue kurealize hilo leo na ndio maana siku zote mkiamua mambo yenu EAC TZ ikikataa ni kwasababu tunajilinda wenyewe. Eneo letu, umoja wetu, ushirikiano wetu na mali zetu. Subiri tu kidogo, Tanzania inakaribia kuwa the Germany of East Africa.If at all kungekuwa na kuaminiana kuacha nationalist politics nk hii region ingekuwa moto kuliko region yeyote ya Africa ila ndio hivyo tena naona kila mmoja anavuta kwake hata ile miradi ya pamoja ya kimkakati sioni tena
Evidence Africa's tallest?Nairobi
Africas tallest ferris wheel
__________________
Wacha ufala! Tanzania uses Toyota brands than any East African country! Why shouldn't we allow them to put up their assembly factory in Tanzania?As for my opinion ingefaa EAC countries zifanye specialization mambo ya car assembly yangebaki kenya afu agro processing plants,utalii na mining ingekuwa Tzn ingemake sense given nature ya kila nchi
Hii mambo ya magari ni too capital intensive na value chain yake ni ndogo sana compared na value addition agro industries ni vile huwezi chagulia investors au wako less informed
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] kashtuka
😆😆😆😆😆Shocking details of mysterious owners of Kenya’s SGR firm
Kenya signed a secret agreement with the Chinese allowing a mystery company with unknown local shareholders to run the Standard Gauge Railway, documents seen by the Sunday Nation show.www.thecitizen.co.tz
Treni za Ethiopia na kenya hazina utofauti. Yaani mchina kawa racist hadi kwenye biashara aisee sijui waafrika wataelimika liniMchina Mungu anamuona👇👇👇
Bj-50Kwanza wewe unazungumza kama nani???
Kwanza pambaneni na upuuzi huu[emoji38][emoji38][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Naona Utalii mmeanza kurealise kuwa TANZANIA itawachapa iwe isiwe, Assembly plants zije tu. We are mkre than readu to accept as long as watatiina kufuata taratibu za TANZANIA ikiwemo local content stuff
Dingi acha kupaniki kama umeguswa kwenye figo na kidole mm nmesema maoni yangu na nimetoa sababu cjakataza kitu sasa unapanik nn dingiWacha ufala! Tanzania uses Toyota brands than any East African country! Why shouldn't we allow them to put up their assembly factory in Tanzania?