Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna tangazo limetolewa kwa wakazi vingunguti wenye nyumba karibia na reli maeneo ya kiembembuzi kwenye barabara inayoelekea machinjioni kutokea nyerere road
Kuwa nyumba zao zitabomolewa ili kupisha ujenzi wa flyover ambapo gari zitapita juu halafu bullet train itapita chini kisha kukutana na viaduct eneo la buguruni ambayo ujenzi wake ulisha anza kwa kuchimba shimo la kusimika nguzo
Leo waturuki walikuwa wakipima jinsi flyover itakaa
Soon dar itakuwa ni home of flyovers
 
Kumbuka Upande Wa Pili Kuna Kambi Ya Jeshi Mkuu
 
aisee ni hatari,,mambo ni mazuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…