asvptx
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 1,940
- 1,015
😂 😂 😂 ukishindwa na hoja kawaida kurejea ooh sijui njaa ooh kibera hahaha.Kwanza naweza nikawa naongea na mbuzi anayeishi kibera, hujui chochote kuhusu biashara kafie mbele na hizo braids zako. You can think of me however you want, I mean, that's what most people do right? see things in their own perspective. I don't have to explain myself to you and I'm happy that way.
Ulikua corporate gani workers ni wazungu na wahindi pekee? Nina uhakika hujawahi toka Tanzania.. usidhani unaweza danganya watu nyuma ya screen ya simu/laptop wewe.
