uko sawa wazo konki nadhani wakuu washapitia ila washiishie kupitia tu watekelezeKitu ambacho kinafanya miji ya nchi zilizoendelea kuwa vivutio vikubwa ni kwa sababu wanaongeza thamani wa maeneo waliyonayo. Mfano Paris, ni inland city inapitiwa na mto seine, wakati wa winter hali ya hewa baridi unaweza hata ukakimbia. Lakini vitu kama eiffel tower, the Louvre museum, french cuisine na Notre dame cathedral vinavuta watu zaidi ya milioni 40 kwa mwaka kutembelea Paris na haijalishi hofu ya mashambulio ya kigaidi, watu wanazidi tu kwenda. Lakini jiji kama Dar, Location nzuri, white sand beaches, tropical climate nk, tuna watalii wachache sana. Tubadilike na kuleta thamani katika vitu tulivyonavyo tayari. Kwa mfano tena wa jiji lililokuwa na maendeleo sawa na Dar ni Dubai. Dubai ni jiji lililoko jangwani. Ni mafuta na beach tu ndo vilivyoisaidia Dubai. Wametengeneza vivutio vingi kiasi kwamba Dubai inaipita New York kwa idadi ya watalii kwa mwaka hivi leo wakati miaka kumi iliyopita Dubai ilikuwa hewa tu. We need to change. Sipendi notion ya kuziangalia eti nchi nyingine za kiafrika kuhusu maendeleo eti kisa wao wamefanya na sisi eti tufanye, hapana, tufanye vitu ambavyo waafrika wengine hawafanyi. Kama hakuna jiji Afrika lenye subway, tuwe wa kwanza kuwa na subway, wanasema "work hard till your enemies ask if you are hiring". I believe Tanzania inaelekea huko. We just need people full of great Ideas and Cash to transform this country.
Braza lipe airtime na hilo li Mlimani plaza
I have always been recommending this for a very long time. Wafanye hivi na milima Rungwe na Meru.[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
hivi hii road itakua na lines ngapi?
Safi sana mkuu, acha waitangaze nchi. Ananikumbusha accent za my Russian friends in Seattle😂😂. I love those peopleSikiliza mpaka mwisho.
Tanzania is shining
6hivi hii road itakua na lines ngapi?
Yaani nyie kila kitu kwenu hulipuliwa hiyo interchange feeder Lane yake less than 50m ina maana the whole idea of an interchange has failed right there! Aisee nyie ni mazoba kweli feeder Lane has to be over 200m!
Hilo la bichi kuwa na mchanga mweupe wabongo wengi tunalichukulia poa sana kwasababu tumekua wakiona bichi zina mchanga huo. Ila asikwambie mtu bichi zetu nzuri aisee, nchi nyingine beach zina mawe mawe, mchanga kama kokoto ndogondogo lakini jamaa wanakomaa hivyo hivyo kweye utalii, sisi mchanga mwembamba, laini, mweupe lakini tumezubaa zubaa tuu.Kitu ambacho kinafanya miji ya nchi zilizoendelea kuwa vivutio vikubwa ni kwa sababu wanaongeza thamani wa maeneo waliyonayo. Mfano Paris, ni inland city inapitiwa na mto seine, wakati wa winter hali ya hewa baridi unaweza hata ukakimbia. Lakini vitu kama eiffel tower, the Louvre museum, french cuisine na Notre dame cathedral vinavuta watu zaidi ya milioni 40 kwa mwaka kutembelea Paris na haijalishi hofu ya mashambulio ya kigaidi, watu wanazidi tu kwenda. Lakini jiji kama Dar, Location nzuri, white sand beaches, tropical climate nk, tuna watalii wachache sana. Tubadilike na kuleta thamani katika vitu tulivyonavyo tayari. Kwa mfano tena wa jiji lililokuwa na maendeleo sawa na Dar ni Dubai. Dubai ni jiji lililoko jangwani. Ni mafuta na beach tu ndo vilivyoisaidia Dubai. Wametengeneza vivutio vingi kiasi kwamba Dubai inaipita New York kwa idadi ya watalii kwa mwaka hivi leo wakati miaka kumi iliyopita Dubai ilikuwa hewa tu. We need to change. Sipendi notion ya kuziangalia eti nchi nyingine za kiafrika kuhusu maendeleo eti kisa wao wamefanya na sisi eti tufanye, hapana, tufanye vitu ambavyo waafrika wengine hawafanyi. Kama hakuna jiji Afrika lenye subway, tuwe wa kwanza kuwa na subway, wanasema "work hard till your enemies ask if you are hiring". I believe Tanzania inaelekea huko. We just need people full of great Ideas and Cash to transform this country.
Hivi speed limit hapo ni ngapi maana hizo exit zilivyo chepuka ghafla bin vuu, kama speed ya gari ni kubwa inaweza sababisha ajali mbaya sana. Halafu hiyo ya kuingia kwenye freeway upande wa kulia ina kigingi kabisa 🤣, dah! Hatari sana. Ni nani aliyedesign hizo barabara?