Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Munasikitisha sana wakenya na utakuta mzungu ndio kazungusha fence[emoji38][emoji38][emoji116][emoji116]

@janerose njoo hapa mlete na @teargas nasikia ndio mnaongoza kwa budget kubwa ya elimu hapa EAC Engineer lev mnakwama wap ?
 
Kwenye hio clip ameonesha ngong na ojijo road ambazo bado zipo kwenye ujenzi wala hujaona mtu yeyote akiogelea ama nyumba za watu kua submerged kama ilivyo ada huko kwenu.
Kumbe ni Nairobi mbona maelezo ni mengi sana[emoji23]
 
Hio wizara ina kazi kubwa sana kwenye nchi hii nakushauri ingia google andika wizara ya tamisemi utapata hostoria nzima
Ungeeleza tu kama joto la jiwe alivyofanya,si kazi ngumu maana huku kwetu pia tuna wizara hio inaitwa ministry of interior and coordination of national government under the office of the president. Ikiongozwa na Matiang'i.
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]ushawah jiuliz pesa hzo alitoa wapi???[emoji38][emoji38][emoji38]

Sonko alipata hela kabla akue mbunge wa makadara ,he was wealthy before he joined politics .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…