We love penmanshipNi kama zinaandikwa na watoto wa kindergarten. Haziko smart kabisa, ni nyinyi pekee duniani.
Prof Ndii huwa hakopeshi mtu....Maumivu ya mwaka nimecheka sanaππππππππ
Dawa imeingia vzr asante karibuππHii ndio Tanzania mpya sio Ile ya 90s.