Fanya hivi, niletee terminals za "wilson" sio kuleta rooftops, hatupo makao makuu ya the CIA, ukiwa unagoogle, kula hivi kwanza
View attachment 1090901View attachment 1090902View attachment 1090903View attachment 1090905View attachment 1090906
unadhani mimi sijui google maps? jibwa koko tu wewe ,hahahahahaha😂😂😂😂 hakuna barabara za kisasa huko Tz,mabati ni wewe ebu cheki google maps ya estates zenu,kwani hii city ni mzee aje,si afadhali mpake rangi
View attachment 1090904
View attachment 1090907
Kichwa cha train? Mbona sio kama bullet Train.These guys aint joking!
Utawajua paka waoga 🔨 🔨 🤣 🤣 🤣 💊 💊 💣 💣 unajua maana ya terminal? sijakwambia uniletee dessert store sawa? nenda google translate utafute maana ya "terminal" labda English ni tatizo kwako
sikia wewe jibwa, hiyo inatumika kutest, treni zetu tumeshapurchaseKichwa cha train? Mbona sio kama bullet Train.
Na vile Ikulu inahamia Dodoma sasa tutashuhudia minara mingine kwenye mitaa ya ikulu ya DSM na fukwe zake ziruhusiwe uwekezaji wa biashara mbalimbali
Kwanza Mikocheni na Oysterbay sio mitaa. Ni wards, Ikulu inapatikana Kivukoni, 1 Barack Obama DriveIkulu ya Dar inapatikana mtaa upi? Mikocheni au oyster bay?.
hahahahahahahahhaha ona sasa kibera iko ligi moja na estates zenu na hapa kwetu ni makao duni sana,Dar mko chini tu sanaunadhani mimi sijui google maps? jibwa koko tu wewe ,
View attachment 1090927View attachment 1090928
"Estates?", Hizo ni informa settlements. Ukitaka equal fight, linganisha posh areas both in Dar na nairobbery, your call, Msasani peninsula,hahahahahahahahhaha ona sasa kibera iko ligi moja na estates zenu na hapa kwetu ni makao duni sana,Dar mko chini tu sana
Tungekua wabinafsi na self-centred ombaomba wenu tungekua tulishawafukuza kitambo tu lakini Sisi ndio watu wakarimu mno Africa nzima,Nyie kama hasidi wenye husda mtaendelea kutuchukia tu na kututafuta Kwa Shari ila hatupo tayari Kwa Shari zenu.Wakenya ni moja ya watu wabinafsi, wachoyo na self-centred sijawahi kuona. Kama mnabaguana kikabila na wakenya wenzenu je Waafrika wengine itakuwaje? Fikiri
hio iko humo ndani ya terminal kaka,ama za kwenu hakunaUtawajua paka waoga 🔨 🔨 🤣 🤣 🤣 💊 💊 💣 💣 unajua maana ya terminal? sijakwambia uniletee dessert store sawa? nenda google translate utafute maana ya "terminal" labda English ni tatizo kwako
Eti wakarimu Africa nzima? ukweli unaujua mwenyeweTungekua wabinafsi na self-centred ombaomba wenu tungekua tulishawafukuza kitambo tu lakini Sisi ndio watu wakarimu mno Africa nzima,Nyie kama hasidi wenye husda mtaendelea kutuchukia tu na kututafuta Kwa Shari ila hatupo tayari Kwa Shari zenu.
Jibwa ni nyoko.mbona msitest na bullet maana ndio zitakazotumika?.sikia wewe jibwa, hiyo inatumika kutest, treni zetu tumeshapurchase
nimekwambia leta picha ya terminal, bla bla bla sitakihio iko humo ndani ya terminal kaka,ama za kwenu hakuna
We si engineer wewe? au engineer kunya? mbona unaniuliza mimi? maana mimi sio engineer. Na pia, hicho kichwa cha treni ni cha Yapi Merkezi, wanatumia ther OWN equipment kufanya kila kitu. Treni zetu tumeshanunua. Pilippili usiyoila yakuwashia nini? tulia engineer kunyaJibwa ni nyoko.mbona msitest na bullet maana ndio zitakazotumika?.
Kivukoni napajua, kwani wards haziwezi zikawa mitaa? You mean mikocheni and oyster bay are not estates?.Kwanza Mikocheni na Oysterbay sio mitaa. Ni wards, Ikulu inapatikana Kivukoni, 1 Barack Obama DriveView attachment 1090963
kwani wewe unadhani "estate" ni nini? maana mtaa ni "street" na huku hakuna mtaa wa mikocheni na mtaa wa oyesterbay bali ni maeneo ya mikocheni na Oyesterbay ambazo ni wards. ona hii, huo ni mtaa huo?Kivukoni napajua, kwani wards haziwezi zikawa mitaa? You mean mikocheni and oyster bay are not estates?.
Nakuuliza wiye maana wewe ni 255, hio budget ya kujenga reli ni tofauti na ya kununua treni pamoja na mabehewa? Basi jiwe aliwacheza.We si engineer wewe? au engineer kunya? mbona unaniuliza mimi? maana mimi sio engineer. Na pia, hicho kichwa cha treni ni cha Yapi Merkezi, wanatumia ther OWN equipment kufanya kila kitu. Treni zetu tumeshanunua. Pilippili usiyoila yakuwashia nini? tulia engineer kunya
Na ndio mnarundamana huku mkitembeza vibakuli visenti .Eti wakarimu Africa nzima? ukweli unaujua mwenyewe