Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

="Chamoto, post: 31336550, member: 8533"

Dah, kweli ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya ila ntamtetea jamaa hiyo ni Windows 7 japo kuwa nayo ni ya zamani pia.
Windows 7 si mbaya. Labda inamsuit yeye. Windows 7 has a better software compatibility than windows 10. Some believe iko na better interface. n.k
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]

huyo mchina nyuma hapo kanifurahisha kweli kweli naona kaishika flag ya Tz kwa ufasaha zaidi utasema yeye ni mtanzania[emoji3][emoji3][emoji3] kasahau kuwa mwenzake ametoka kula kipigo
 
Hivi hawa nyang'au wangeandika tu sevilla inaenda Tanzania kungekua na ubaya gani hadi waanze kujiweka naxwao eti sevilla inaenda kwa jirani wa kenya,wapumbavu sana hawa mungiki
 
Hivi hawa nyang'au wangeandika tu sevilla inaenda Tanzania kungekua na ubaya gani hadi waanze kujiweka naxwao eti sevilla inaenda kwa jirani wa kenya,wapumbavu sana hawa mungikiView attachment 1088493
Hahahaha, hawataki kutoka kwenye spotlight, kwa taarifa yao sisi ndio the centre of attention this time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…