Hahahah alikua anapima majiππππsasa hiyo ni expressway au BRT? Tena with your words, you assured me kuwa hadi mna "three phases" haya ziko wapi?
The deal was signed on 26th April! There is no way its construction could have been the said fotos!View attachment 1085176View attachment 1085175View attachment 1085176View attachment 1085175
For more information you can Google
Hawa jamaa wanakera sana, sijui imekuwaje!!!Nlitegemea Best western Kufungua hotel yao ya vyumba 150+ kwenye Jengo la mzizima towers ila bado halijaisha ..Nssf wamekuwa slow kwenye kumaliza majengo yao ..hata lile la mwanza bado linasua sua
jamaa anavituko kweli kweli[emoji3][emoji16]Yani nimecheka mpaka basi tumemuomba ushahidi kua BRT wapi inajengwa anatuletea link ya ku sign ambayo bado mchina pesa hajawapa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
ni kweli kabisa yaani mzizima linanyata hatari sijui tatizo nini[emoji58]Nlitegemea Best western Kufungua hotel yao ya vyumba 150+ kwenye Jengo la mzizima towers ila bado halijaisha ..Nssf wamekuwa slow kwenye kumaliza majengo yao ..hata lile la mwanza bado linasua sua
Labda anafkiri ku sign nikupewa pesaπππThe deal was signed on 26th April! There is no way its construction could have been the said fotos!
bila hata kuuliza, chugga hiyo eh?Northern Tanzania and Its People βπ³π
View attachment 1085396View attachment 1085398View attachment 1085399View attachment 1085400View attachment 1085401View attachment 1085403
Yeah mkalibila hata kuuliza, chugga hiyo eh?
Hivi Mnf hawataweka minara au ndio basi tena π
lazima waiwekeHivi Mnf hawataweka minara au ndio basi tena π
Wataweka lakini sio mirefu kivileHivi Mnf hawataweka minara au ndio basi tena π