Kuna ile inapitia baharini unaona hadi daraja la Kigamboni angepata hio ni nzuri zaidiHuyu jamaa somehow kaiotea kiasi fulani hivi:
Wakenya siku zote hawana lolote! so hii video wanafanya comparison kunya coz Lagos wanaweka sehemu chafu chafu then wao wanatafuta hizo Photoshop pictures, sokwe atabaki kuwa sokwe, wangefanya comparison na kibera ndio tuone nani angeshinda hapo.
hatarHuyu jamaa somehow kaiotea kiasi fulani hivi:
Game over [emoji582][emoji582][emoji583][emoji583][emoji583]
Since when showing progress of our city is hatin', we do us, do you... ma nigga!This whole thread is just Tanzanians showing their hate for Kenyans... hahaha.
Povu mingi sana
umerudi na povu ziito ,aisee pole sana [emoji3][emoji3][emoji3]Hahah the more things change the more they remain the same. Hii thread ni sawia na kitendo cha masturbation.. Wacha watanzagiza wazidi kunyonga monkey. Hawawezi saidika hawa maskini wa Mungu [emoji30][emoji24][emoji23]