Mbona unanisoma kwa content yako kichwani Kiongozi? Mimi nimeongelea general budget ya hiyo project hakuna mahali nimeongelea billion 400? Au nimezeeka ghafla? Sina uhakika.Mkuu hela nliokueleza hapo haihusishi project ya by pass iko kivyake na inatumia 120 hadi 160 bilion ujenzi wake mkuu total cost ya upanuzi kutoka sakina mpaka tengeru na by pass zote mbili ni zaidi ya 250 mpaka 300 bilioni kwa hio io 400 kwa upanuzi sehemu ya arusha km 8.9 na moshi km 8 bado madaraja hususan la kikafu na usisahau udongo wa moshi unaitaji earthwork ya maana kwa io hio 400 haitoshi lazima gvt iongeze kidogo na kwenye project design pitia eac na jica na mwtc wizara bajeti mwaka jana utaona double way haifiki kia inaishia usa river ili iunge na by pass nazani wataweka na ka overpass pale japo sina uhakika mkuu nazani sa hv umenieelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂 Hii takataka ya jalalani watafute pahala waitelekeze tu sababu ni majanga daily👇👇👇👇👇👇
Hapana mkuu nnavosema 400 bil n makadiroa ya hio 60% ya hio 700 bil afu let wait time will tellMbona unanisoma kwa content yako kichwani Kiongozi? Mimi nimeongelea general budget ya hiyo project hakuna mahali nimeongelea billion 400? Au nimezeeka ghafla? Sina uhakika.
Sasa kama hii project yote imegharimu billion 139, 60% ni kiasi kingi sana, barabara ya lami International standard kilometer 1 ni billion 1, dual carriage way ni 1.8 billion kama sikosei, gharama kubwa kwenye ujenzi wa barabara ni madaraja na compensation, kwenye kipande cha tengeru mpaka moshi hakuna compensation yoyoteHapana mkuu nnavosema 400 bil n makadiroa ya hio 60% ya hio 700 bil afu let wait time will tell
Sent using Jamii Forums mobile app
Time will tell me siwezi kuendelea kukubishia coz nimesema whole project ya by pass na sakina tengeru ni more than 350 bilion ingia mtandaoni google utapata maelezo one km ya road ipo hata ya 500 milions per km kuna kitu kinaitwa road design ndio inayo predict road price sasa hio ya one bilion n standard ya barabara za mikoa kwa mkoa ambayo design yake mostly asphat layer n mbili tena za 60 mm akato arusha kifusi tu ya c1 unajenga barabara km 100 za mtaani kwa gharama na ujazo wa io kifusi anyway tusibishane mkuu time will tell ikianza nazani n before mwezi wa saba au wanane utaniambiaSasa kama hii project yote imegharimu billion 139, 60% ni kiasi kingi sana, barabara ya lami International standard kilometer 1 ni billion 1, dual carriage way ni 1.8 billion kama sikosei, gharama kubwa kwenye ujenzi wa barabara ni madaraja na compensation, kwenye kipande cha tengeru mpaka moshi hakuna compensation yoyote
Arusha bypass imekula pesa sababu ya compensation na hizo technicalities nyingine nilizozitaja.
😁😁😁😁😁 Am now uncomfortable with the authentic of your so called "an engineer "Time will tell me siwezi kuendelea kukubishia coz nimesema whole project ya by pass na sakina tengeru ni more than 350 bilion ingia mtandaoni google utapata maelezo one km ya road ipo hata ya 500 milions per km kuna kitu kinaitwa road design ndio inayo predict road price sasa hio ya one bilion n standard ya barabara za mikoa kwa mkoa ambayo design yake mostly asphat layer n mbili tena za 60 mm akato arusha kifusi tu ya c1 unajenga barabara km 100 za mtaani kwa gharama na ujazo wa io kifusi anyway tusibishane mkuu time will tell ikianza nazani n before mwezi wa saba au wanane utaniambia
Sent using Jamii Forums mobile app
Okay bro u win let time decide 2 years are not that long we will be here[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Am now uncomfortable with the authentic of your so called "an engineer "
Kwa taarifa yako saivi biggest project in the schedule ya Tanroads kwa upande wa dual carriage ways ni Dodoma outer ringroad project ambayo inaxiumganisha routes kutoa Lake Zone, Southern Highlands, Northern Zone na Dar to escaping from entering city centre
Itakua more than 100 kilometres na itagharimu 400 billion including compensations kuna toughest badass earthworks, almost 35% 6 lanes (+ service roads) and Lander's interests, sasa hicho kibarabara hapo ndio kiwe 350 billion? (reality hiyo pesa sio zaidi ya billion 140 kama unataka ushahidi useme)
From Arusha to KIA is not even perfect 45 kilometres, halafu hizi habari sizipati Google my friend.
And if u dont trust am an engineer its fine nothing to worry time will tell us.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Am now uncomfortable with the authentic of your so called "an engineer "
Kwa taarifa yako saivi biggest project in the schedule ya Tanroads kwa upande wa dual carriage ways ni Dodoma outer ringroad project ambayo inaxiumganisha routes kutoa Lake Zone, Southern Highlands, Northern Zone na Dar to escaping from entering city centre
Itakua more than 100 kilometres na itagharimu 400 billion including compensations kuna toughest badass earthworks, almost 35% 6 lanes (+ service roads) and Lander's interests, sasa hicho kibarabara hapo ndio kiwe 350 billion? (reality hiyo pesa sio zaidi ya billion 140 kama unataka ushahidi useme)
From Arusha to KIA is not even perfect 45 kilometres, halafu hizi habari sizipati Google my friend.
Mbona nyie mpaka leo hamna BRT! Ata hamjui pakuanzia wakati sisi tumesha izoea na ujenzi wa BRT phase two umeanza.Tanzania ni nchi ya kuogopa?? Hahaha....kwa lipi haswa? An LDC country ghat built it's first elevated road in 2019wakati we gone tulianza kuona vitu Kama hizo kitambo. Nchi yenye infanya uzinduzi wa lift!!! Hiyo ni nchi ya kuogopa kweli?? Wachene matani jamani
it's not about winning or losing its about the facts hakuna mradi wa billion 350 wa barabara hapo Arusha, aliekuambia alikuongopeaOkay bro u win let time decide 2 years are not that long we will be here
Sent using Jamii Forums mobile app
it's not about winning or losing its about the facts hakuna mradi wa billion 350 wa barabara hapo Arusha, aliekuambia alikuongopeaOkay bro u win let time decide 2 years are not that long we will be here
Sent using Jamii Forums mobile app
Dream liner mojaBillion 500tshs zimetengwa kununua ndege mwaka ujao wa fedha 2019-2020 je ni ndege gani hizo? Mwenye updates
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ndiyo uzuri wa Bongo, mambo yana pangwa. Jamaa zetu huwa wanasiasa wanatangazia umma halafu next wanaenda abroad for a study tour, wanapost mapicha mitandaoni wakiwa wameshika train, halafu story ina ishia hapo.Dar es Salaam commuter train Feasibility study done .
View attachment 1074446
View attachment 1074447
View attachment 1074448
View attachment 1074449
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hizi zilishalipiwa zinasubiriwa tu...Au unasahauDream liner moja
Dash 8 q400 moja
Na zingine bado hawaja decide order
Usisahau kuna dege la mizigo nalo lipo kwenye darubini za JPM.Dream liner moja
Dash 8 q400 moja
Na zingine bado hawaja decide order