Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leo umeamka umekuta FACT ya nilivyokuumbua na imesimama vile vile. Na Kesho hahahahaha
 
Imagine hata tukishakufa vizazi na vizazi fact itabaki vile vile kwamba nilikuumbua unadanganya umma umesomea "mambo ya aviation" Hehehehe ogopa kitu FACT iyo!!!! Hehehehe....
Umejitahidi kuzima soo lakini wapi bomu halijakuacha 😀😀😀😀
Jibu la bomu wapiiiiiii🙂🙂🙂🙂
Alielikwepa ulimuona mjinga umeenda kulivaa wewe 😀😀😀
Umebakia kusema laiti ningelijua 😛😛😛😛
 
Kuna soo zaidi ya kuumbuliwa?! He he he he he
Aibu ilioje!!!! Vitukuu vyako vitakuja kupitia JF vinashangaa babu aliumbuliwa vibaya hapa!!!!
 
Leo umeamka umekuta FACT ya nilivyokuumbua na imesimama vile vile. Na Kesho hahahahaha
Wapi bomu No 1 la wanjala likwapi😀😀😀😀
Kumbatia na bomu no 2 basis kama unajeuri hio😀😀😀😀😀😀😀 mpaka kamasi zinakutoka 😛😛😛😛😛😛 alijua juice kumbe togwa 🙂🙂🙂
Siku nyingine zingatia kanuni na sheria🙄🙄
 
Kuna soo zaidi ya kuumbuliwa?! He he he he he
Aibu ilioje!!!! Vitukuu vyako vitakuja kupitia JF vinashangaa babu aliumbuliwa vibaya hapa!!!!
Wanjala pamoja na speed zake alivoona swali limekaa kama lina bomu akakimbia masikini mkenya kilaza akalidaka hewani akijua kadaka mpira kumbe kadaka mzigo sasa unamuendesha puta kama mzigo wa taka🙂🙂😀😀😀😛😛😀
 
ndo ukome!!!! kitu FACT iyo inakutesa
Uhahahhahahha bomuu wapi kwanza😀😀😀
Bomu la wanjala No 1 likwapi😛😛😛
Umejifunza ndio maana sikuoni ukigusa swali langu tena😛😛😛😛😛😛
Bomuuuuu baya la wanjala😀😀😀😀😀
bora kufa kwa mapenzi sio bomu la wanjala
Kilaza anakufa anajiona 😀😀😀😀😀
 
Utakua umejifunza! saivi najua huo ujinga huwezi tena kufanya!!!! Ila kwa saivi itakuandama hadi hadi kufa hehehehe. ..
 
Ziko mall ngapi apa bongo na ipi ni kubwa zaidi kwa sq m..
Nazozifaham
1.Quality center
2.Mkuki house
3.Mlimani city
4.City mall
5.Msasani mall
6.slipway
7.gsm mall
Zingine nisaidien kutaja na kama mko na picha pia itakua bomba, Wanjala yuko na pics kibao za Nai kitu ambacho Ni poa sana
 
Utakua umejifunza! saivi najua huo ujinga huwezi tena kufanya!!!! Ila kwa saivi itakuandama hadi hadi kufa hehehehe. ..
Mbona maswali yangu mengine hugusi😀😀 hujaona bomu no 3 la wanjala 😛😛😛😛
Mwenzako mjanja akiona linakuja huyo speed 😀😀😀😀😀😀
Ujuaji umekuponza 😀😀🙂🙂
mwenzako kakwepa matatu we umebakia na moja tu linakunyima usingiz 😀😀😀
Wanjala bomu wapiiiiiiiiiiiiii😛😛😛😛
 
Dogo langu la aviation!!!! Imba tu lakini kesho ukiamka unalo!!!!!
 
Shoppers plaza mall
 
Dogo langu la aviation!!!! Imba tu lakini kesho ukiamka unalo!!!!!
Uahhaahhahahhaha wapi jibu la bomuu bado lakutesa tu😀😀😀😀😀
Mwenye bomu sasa hivi kalala wewe bado uko nalo tu 😛😛😛😛
Wanjala kamuingiza chaka ndugu yake🙄🙄
 
Hivi unajiskiaje kuumbuliwa kiasi hicho?! Utakua unanichukia kinoma. Nichukie tu ila wewe ni dogo langu nikiona unapotea lazima nikuweka kwenye mstari...
 
Hivi unajiskiaje kuumbuliwa kiasi hicho?! Utakua unanichukia kinoma. Nichukie tu ila wewe ni dogo langu nikiona unapotea lazima nikuweka kwenye mstari...
Sasa sijui nani mjaluo na nani mkikuyu maana hawapendani😀😀😀😀😀
Aliemuingiza chaka mwenzie nani😀😀😀
Lakini wanjala atakua mkikuyu kamuingiza mjaluo kwenye kaa la moto 😀😀😀😛😛😛
Wanjala ukabila eka pembeni saidia ndugu yako kubeba bomuuuuuu 😀😀
Masikini bomu la wanjala lamuuua mkenya hvi hvi😀😀😀😀😀😀
 
"Professional wa aviation" Moscow
 
"Professional wa aviation" Moscow
Wapi bomuuuuu LA wanjala kwanza😀😀😀😀
Mkenya kilaza kadaka bomu halimuhusu 😛😛
Kajipendekeza kwenye swali la wanjala😀😀
Jibu na bomu no2 ya wanjala tuone kma hamu unayo tenaa😛😛😛😛 subutu
Kilaza plus anajitahidi kulivua bomu lakini wapi kama panya ndani ya mtego😀😀😀
 
Je unakumbuka huyu kilaza enzi hizo?!
 
Je unakumbuka huyu kilaza enzi hizo?!View attachment 504673
Mi nakumbuka bomu la wanjala no 1 tu
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Wanjala kakwepa mabomu mawili 😀😀😀
Kilaza plus kakombatia kati ya mkwepaji na mkombatiaji nani kilaza zaidi😛😛😛😛
Wapi bomuuuuu la wanjala 🙂🙂🙂
 
hahaa...hawa paka unanipunga nao kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…