Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Buruburu kumeshachooooka utafikiri Kariobangi South na Makadara


Sent using Jamii Forums mobile app
 
"kw mfano tu tuangalie ma rais wastaafu." Mbona hujaendelea na huo mfano wako kwa kutaja hao maraisi walio staafu na kubaki mjini. Hiko hivi Tz mtu akibarikiwa kipato cha kati kujenga Dar ni kitu cha kawaida sana. Ardhi iko cheap, mpaka mtu anastaafu kuwa na nyumba kijijini + shamba na mjini kuwa na nyumba huwa ni kitu kidogo. Nairobi ni ndogo hii imepelekea ardhi kuwa expensive na ubepari umechangia matajiri wa awali kumiliki ardhi kubwa na kujenga (landlords) hili hatuwezi walaumu vijana wa sasa hivi ila nanyie hampaswi kulisifia. Wazee wengi wakistaafu ata huku Tz wanarudi vijijini ila bado wanakuwa na nyumba mjini. Mzee wangu toka nikiwa mdogo aliniambia akistaafu anarudi kijijini na amefanya hivyo. Nakuwekea badhii ya picha za kijijini kwetu Bukoba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Awache wapi amebakia kurudia estate na picha ni zile zile πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† kabla yako alikuwepo ndugu yako wanjala ilifkia hatua akakimbia
Hakuna nulichorudia, the system just sent the last pictures I posted more than once na sijui kwa nini. just the same way hata wewe pia comment yako imejirudia hapa. Nikianza kupost pics za estates za Nairobi I will need the whole week to do so. Wewe Naona ushakimbilia Masaki na mikocheni and other posh estates along the beach ila mimi most of the estates I posted ni za eastlands, where majority of Nairobians live.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Heheeee!!naona umetema povu la hali...haya nenda kw google uiangalie...kabla hujaena nitajie angalau mitaa ya middle class dar niicheki google nataka nicheke pekeangu leo...

Manake nashangaa..walioni quote wote wanaropoka tu...leteni mitaa ya middle class dar kw majina tuicheki google earth...
 
Bro..muelewe..huaga hyo hana akili...hv nikuulize..unajua hta mtaa mmoja wa middle class dar unisaidie na mi niucheki katika google earth nijichekee
 
Tu assume ulianza tokea first page ya huu uzi, ulimaliza page ya ngapi au bado hazijaisha[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].

[emoji849][emoji849][emoji849]
 
Bro..muelewe..huaga hyo hana akili...hv nikuulize..unajua hta mtaa mmoja wa middle class dar unisaidie na mi niucheki katika google earth nijichekee
Imagine Mimi nilipost pics za eastlands where the majority of middle class nairobians live na mtu ashakimbia kuleta pics za posh estates za Dar along the beach. Kama wanaamini they have better estates mtu aniletee pics za mwananyamala, Sinza, Tabata, Mwenge, Magomeni, Chang'ombe, Buguruni, Jangwani na kadhalika. Wasituletee Mitaa za kifahari. Hizo tunazo Mingi sana Nairobi. We want estates where 80% of dar population lives
 
Heheheh kazitazame vzr picha hzo alipost wanjala na akakimbia humu ndaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‘‡πŸ‘‡

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…