[emoji3][emoji3]yuko anatafuta, yaani google earth ukisearch slums in dar, inavyokata utadhani umeishiwa bundle[emoji23][emoji23][emoji23],inajua kabisa hivyo vitu havichangamani.Haya leta ushahidi google earth tuamini maneno yako[emoji38][emoji38][emoji38]
Ona hii[emoji16][emoji16][emoji16][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1073087
vile vile isitoshe si nairobi nzima imejengwa kwa mfumo wa estate hao mbali na slums pia wana maeneo ya uswazi hawa machokoraa wametudouble [emoji3][emoji3][emoji3]Nakuonesha vile watu wanamiliki nyumba zao sio nyinyi munaokaa kwenye estate za investors kazi yenu kulipa rent na ardhi hakuna[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] robo ya kenya anamiliki kenyatta
Ikichukua middle income, low income na upper middle income wote nairobi, hawafiki 1.5 ml.SWALI LA MSINGI
kiuhalisia si nairobi yote ina zile hostel estate nikimaanisha kuwa total ya wananchi wanaoishi nairobi si wote wanaokaa kwenye zile hostel estate kwani wingi wa raia wa nairobi hauwezi tosha swali la msingi linakuja hapa sasa, je mbali na kibera,mama huruma na slums nyingineezo yako wapi makazi ya wananchi wengine wanaokaa kwenye nyumba zao ambazo wamejenga kwa mtindo wautakao..kwani hizo nyumba pia zipo?[emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
nairobi planned [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]area means nothing,what i see speaks louder,Dr is unplanned city,90% ni slum
hapo ndipo pabaya......[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ukiona picha za juu unaweza shtuka, shuka chini sasa,[emoji23][emoji23][emoji23]
vituko vya mwaka,,,,,,,kama hauyajui hayo maeneo ni bora ukae kimya kama mjinga usichekeshe ummaslum zones in Dar
1.mbagala
2.mtoni
3.tandika
4.temeke
5.manzeshe
6.tandale
7.mabibo
8.sinza
9.tabata
10.segerea
hiyo ndiyo akili yake yaani hiyo ni 1st zeroo brain wa dunia[emoji3][emoji3][emoji3]Planned houses must be in lines with the same architecture design huh!!!
That rubbish you get in kunyan schools.
ni kweli kabisa yaani zile hostel wanazotuonyesha ndiyo ushuani kwao[emoji3][emoji3] [emoji3] si vituko ,Ikichukua middle income, low income na upper middle income wote nairobi, hawafiki 1.5 ml.
Kwa haraka kuna watu zaidi ya 1ml wanaishi kama nguruwe hapo jiji kuu EA[emoji23][emoji23][emoji23]
Yani mi nikose kazi nijenge nyumba eti ya kuishi nairobi...ma investors wote hao wanajenga apartments au ji eatate wanakuuzia....vile vile isitoshe si nairobi nzima imejengwa kwa mfumo wa estate hao mbali na slums pia wana maeneo ya uswazi hawa machokoraa wametudouble [emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
nisikufiche hizo hostel estate building zenu zimekaa kilocal sana ila baadhi ndiyo zipo kisasa nyingi ni local after 30yrs zitakuwa kambi za mapopo
hebu check ya kisasa yavyopaswa kuwa
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1072875View attachment 1072876
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbna vijijini zipo kali zaidi ya hzo...bwahahaaa..nisikufiche hizo hostel estate building zenu zimekaa kilocal sana ila baadhi ndiyo zipo kisasa nyingi ni local after 30yrs zitakuwa kambi za mapopo
hebu check ya kisasa yavyopaswa kuwa <img src="//emoji.tapatalk-cdn.com/emoji116.png" /><img src="//emoji.tapatalk-cdn.com/emoji116.png" /><img src="//emoji.tapatalk-cdn.com/emoji116.png" /><img src="//emoji.tapatalk-cdn.com/emoji116.png" />View attachment 1072875View attachment 1072876
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo jamaa hapo comment yake imemaliza kila kituUkweli hautapingika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji38] huwez kua middle income alaf watu wanaishi kwenye uchafu[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Yani mi nikose kazi nijenge nyumba eti ya kuishi nairobi...ma investors wote hao wanajenga apartments au ji eatate wanakuuzia....
Si heri mara mia nijenge flat yangu nitie hela...nyumba ya kuishi nitajenga kwetu bana...baada ya ku retire mwenzako narudi hom kula bata tu...
Ndio manake mkiambiwa dar ni mkoa wenye uko na cbd plus vijiji huaga unapinga...bwahaaaa
Huyu mnyarwanda hapa aliwachana mungiki vibaya mnoThe Estates
View attachment 1072583View attachment 1072584View attachment 1072585View attachment 1072586View attachment 1072587View attachment 1072588View attachment 1072589View attachment 1072590View attachment 1072592View attachment 1072593View attachment 1072594View attachment 1072595View attachment 1072596View attachment 1072597View attachment 1072598View attachment 1072599View attachment 1072602View attachment 1072604View attachment 1072605
Mbna vijijini zipo kali zaidi ya hzo...bwahahaaa..
Kw taarifa yako wakenya hawanganganii wala kubabaikia mjini...utakuta jizee lizima dar linajipiga kifua na kusema mjini kutamu bana...si urudi kwenu tu...kw mfano tu tuangalie ma rais wastaafu...yani tanzania wa tanzania bado hawaamini km wamestaafu...bado wanatak kuishi dar..kisa kwao mashinani ni kubovu...hapo ndio unakuta difference ya watz na wakenya...tanzania hamna zaidi ya dar..kila mtu ana ndoto ya kufika dar...bwahaha...
SWALI LA MSINGIYani mi nikose kazi nijenge nyumba eti ya kuishi nairobi...ma investors wote hao wanajenga apartments au ji eatate wanakuuzia....
Si heri mara mia nijenge flat yangu nitie hela...nyumba ya kuishi nitajenga kwetu bana...baada ya ku retire mwenzako narudi hom kula bata tu...
Ndio manake mkiambiwa dar ni mkoa wenye uko na cbd plus vijiji huaga unapinga...bwahaaaa
na wale walio vijijini kwani si watu...?Mbna vijijini zipo kali zaidi ya hzo...bwahahaaa..
Kw taarifa yako wakenya hawanganganii wala kubabaikia mjini...utakuta jizee lizima dar linajipiga kifua na kusema mjini kutamu bana...si urudi kwenu tu...kw mfano tu tuangalie ma rais wastaafu...yani tanzania wa tanzania bado hawaamini km wamestaafu...bado wanatak kuishi dar..kisa kwao mashinani ni kubovu...hapo ndio unakuta difference ya watz na wakenya...tanzania hamna zaidi ya dar..kila mtu ana ndoto ya kufika dar...bwahaha...
Bwahahaaaaa...nyerere angelibaki dar....hhhhh!!watu wanainua mijengo katika majimbo yao...we bado unaongelea yale maeno ya wafugaji...heheeeMnapokua na ubaguzi wa kikabila huwezi kuelewa haya mambo. Hao wote unaowaona na kuwasikia, wamejenga vijijini na mjini pia na ndio maana vijijini kwetu hamna njaa kama ilivyo kwenu. Unatudanganya hapa na tunaona shule za vijijini kwenu!
Ukwel mchungu...bwahahaaaa...yani jamaa lime retire bado lingangania dar tu...si urudi kwenu kijini km unavyodai wanamajengo ya maana vijijini...na wale walio vijijini kwani si watu...?
ngoja nikufunze kitu kwa Tanzania usipojenga kwenu ama usipoweka mazingira ya ulipotoka vizuri ni haibu kubwa..na vile vile usipojenga ama kuweka mazingira vizuri mahali unapoishi pia ni haibu kubwa hivyo inatulazimu kujenga sehemu mbili yaani unapoishi na ulipotokea ...
nyie bado wakora tu mnaishi kama wakimbizi kwenye taifa lenu mnaishia kujenga village tu wacha uwongo kwa hapo nairobi asilimia kubwa ni watu mnao rent house na huwa mnazaliana humo kuanzia wajukuu mpaka vitukuu pia mnazeekea humo humo nakufa[emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani unamaanisha kuwa na nyumba yako mwenyewe nimpka uijenge...maskini...kumbe hujui mpka apartments na estates zingine watu wanauziwa...SWALI LA MSINGI
kiuhalisia si nairobi yote ina zile hostel estate nikimaanisha kuwa total ya wananchi wanaoishi nairobi si wote wanaokaa kwenye zile hostel estate kwani wingi wa raia wa nairobi hauwezi tosha swali la msingi linakuja hapa sasa, je mbali na kibera,mama huruma na slums nyingineezo yako wapi makazi ya wananchi wengine wanaokaa kwenye nyumba zao ambazo wamejenga kwa mtindo wautakao..kwani hizo nyumba pia zipo?[emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
uelewa wako ni mdogo inamaana watu wote wa nairobi nzima huwa mnanunua nyumba?Yani unamaanisha kuwa na nyumba yako mwenyewe nimpka uijenge...maskini...kumbe hujui mpka appartments na estates zingine woatu wanauziwa...
Maskini watanzania...
Alafu mmeletewa maeneo ya kawaida sana mmeshaanza kuweweseka...mara hoooo....
Nisaidie jamani...nataka kuyaona makaazi ya middle class ya dar na kw majina tu google...km vile buruburu,umoja,
Mbagala huiwezi wewe mkora wa mathareslum zones in Dar
1.mbagala
2.mtoni
3.tandika
4.temeke
5.manzeshe
6.tandale
7.mabibo
8.sinza
9.tabata
10.segerea