Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Budaa uone hata aibu basi, wachezaji wanaenda kuiwakilisha nchi wanalala chini ya viti? Hata mabara mengine wakisikia wataishusha thamani ccf
 
Wewe unipe hela ya chakula??? Hahaha... Hiyo hela unataka kunipa pita nayo pale Tom Mboya Street na Moi Avenue uwape wale ombaomba wenu waliovamia barabara zetu kama nzige. Utakuwa umesaidia mtanzania mwenzako. Mimi sihitaji usaidizi ila wao wanahitaji
 
we akili fyatu, sijaja kwenu kufanya siasa kunya sawa! stay in your lane, fata yanayokuhusu! unaniharibia afternoon yangu kwa maswali na comments za kipumbavu sana. Na nilikwambia uniletee hao "ministers" wa nairobi sio CECMs, kama huelewi maana ya ministers, kaa kimya
 
kawaida wengi muda huu wamepumzika baada ya kazi ila wewe umekazana kuichukia Tanzania coz ndilo jambo pekee linalokupunguzia njaa kuspend time humu kwenye hii thread
 
Angelia ulivyo mjinga. Everyone knows Nairobi is a mainland city, mambo us Baha'i inatoka wapi? Umenikumbusha hapo awali mjinga wenu kwenye hii thread alivyokuwa akitamba eti dar iko na bahari then anataka tumuonyesha Bahari ya Nairobi ilipo. Mazuzu ni wengi sana haha wewe ukiwa moja wao
Hicho kidimbwi unavyokitupia tupia kusimulate bahari hadi huruma πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
kawaida wengi muda huu wamepumzika baada ya kazi ila wewe umekazana kuichukia Tanzania coz ndilo jambo pekee linalokupunguzia njaa kuspend time humu kwenye hii thread
Na wewe unafanya nini hapa wakati Kama hiuu Kama sio kuchukia Kenya? Jiangalie wewe mbongolala jitu kutoka Mbagala. Usisahau kupitia pale Tom Mboya Street angalau uwape wenzako moyoKatika harakati zao za kuhustle na uwape angalau shilingi kumi. Watashukuru sana
 
Ila wewe unahitaji maombezi. Hajasema nairobi kuna bahari, amesema hicho kidimbwi mnasimulate bahari.
 
Sina chuki juu ya kenya, ninawakosoa kwa ubovu na uozo wenu, ni vitu viwili tofauti, chuki unayo wewe, vitu vidogo ambavyo havina hata umuhimu unavibadilisha kuwa chuki, kwa taarifa yako, dua la kuku halimpati mwewe, utatukana,utaenda hata kujiua, tupo up up up up
 
Unataka kunimeet? 🀣🀣🀣🀣🀣, niko westlands

Hahaha Ok, niko mbali kidogo nilikuwa westlands masaa ya mchana. Sasa wewe haukutujulisha mapema tukutembeze mji huu wetu.
 
That's what they are called wewe mdanganyika. Tatizo lako lipi? And for your information, we don't have ministers in Kenya. We have CABINET SECRETARIES. Hiyo ya uminister taliwaachia. Umesikia Kijana wa Mbagala? So yes, we have cabinet secretaries at the national government and County Executive Committee (CEC) at ALL the devolved units aka counties. Umefurahi sass?
 
Hahaha Ok, niko mbali kidogo nilikuwa westlands masaa ya mchana. Sasa wewe haukutujulisha mapema tukutembeze mji huu wetu.
huyu ukimtembeza Nairobi atakukwamilia. usidhubutu!
 
Then this makes you stupid because I perfectly remember you telling me that nairobi county has ministers, you are backstabbing yourself! tafuta mtu mwingine wa kubishana naye, siwezi kuendelea kubishana na mtu asiyejielewa
 
Chukua selfie,
Hivi hunielewi? sitaki ujue identity yangu na location yangu! If ni trust issues, I do not care if you think I'm in nairobi or not, I came here to do my businesses and not to play games or impress anyone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…