Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar iache kabisa budaa utapasuka πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† we endelea kuokota picha za google useme dar

 
ha haaa,mnachonifurahishaga hapo tu yaani huwa ndipo mnaishiaga kupost hizo hostel tu na hapo ndiyo mwisho wenu huwa hamna jipya swali ni dogo tu inamaana wansirobi wote huwa wanaishi kwenye hizo hostel...? maana ni hizo hizo tu kila siku ,na vipi kuhusu wanairobi wengine huwa wanaishi wapi....?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu huyu nyumbu kuna picha nyingine alizoziokota ni kweli ni za DSM ila za mwaka 2012 hata kabla BRT haijaanza kujengwa
Unaposema kwamba ni kabla ya BRT unamaanisha hizo picha sio za Dar anymore au unamaanishaje? Walikuwa wanajenga brt au walikuwa wanajenga pia nyumba zilizoko karibu na pia kufanya planning? Kuna picha nilileta hapo imecapture brt lakini ukiangalia mazingira inayozunguka hiyo brt ni uswazi tupu. Has brt changed the way dar looks in terms of estates and planning? Absolutely not. Najua hii kelele yote mnapiga hapa ni kwa sababu ya uzalendo ila ukweli itabaki palepale. Naona mwenzako kashakimbia kuleta picha za mitaa za kifahari za dar kulinganisha na hizo mitaa za mwananch wa kawaida wa Nairobi ambayo ni maeneo ya Eastlands. Nikianza kuleta za Spring Valley, Kyuna, Karen, Hurlingham, Lavington, Muthaiga, Gigiri, na nyinginezo hapa kutakalika kweli?
 
Hebu toa hizo filters tuone uzwazi unavyokaa
 
So umeamua tufanye DSM 2012 vs Nairobi 2019 au sio
 
You think that using filters will change the reality on the ground? This is dar in its nakedness. This is the same picture without filters. Halafu nashangaa sana sewage treatment plant imejengwa katikati ya eneo la makazi. Hui Dar yenu yatisha!!! Picha ya NNE kutoka chini umejaza filters Ila ukweli ndo hii hapa chini
 
Hizo ulizoleta za Kenya ulienda ukapiga picha mwenyewe au we we pia ulitoa Google?
Kibera iko kila sehemu sio google tu twitter ipo, instagram ipo, facebook kila mahali ipo huwez kosa bila kusahau google earthπŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡
Inauma ila vumilia plz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…