Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Basi wangemchora anakimbia kama kwenye Bombardier!
 
Your town looks like A town in kusadikika, a town of three blue towers amidst a sea of slums and poverty. It's such a pity
 
Kuna mlevi mmoja yeye ushirikiano hupo kwenye maneno tu, anashinda akizulula akipigia watu makelele kuhusu ushirikiano ila matendo zero. Watu wamesha mchoka, kuna siku atatimuliwa airport. Mnao mjua mwambieni atulie kwake apambane na maelfu ya matatizo yanayo wakabili raia wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…