Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hivi interchange itakuwa ya aina gani..?kati ya hiyo na hii[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1055371

Sent using Jamii Forums mobile app

hata mim bado wananichanganya
IMG_1553752156.487456.jpg
 
hata mim bado wananichanganyaView attachment 1055844
Kwahiyo kule chini ndo kutakua na level tena ya kuruhusu magari kupishana Morogoro Rd to Mandela Rd, Mandela Rd to Morogoro Rd(Town), Sam Nujoma Rd to Morogoro Rd na Morogoro Rd(Town) to Sam Nujoma Rd!!?
Kama ni hivoo basi superb interchange still maana ya interchange itakuepo

Maana nilikua na mashaka pale chini... en nikajua kutakua na level mbili tuu, nikahisi wale wa kuingia kubadilishana wata hustle na BRT pale chini kumbe sivyoo....

Basi tumewin hapa

Yeah, Huyo mkandarasi alishauri hivyo maana ile ya kwanza magari yalitakiwa yapishane kwenye level ya pili swala ambalo lingesababisha ajali. So kuhamishia mapishano kuyaweka chini ni kuepuka ajali.
 
Mm naona hata tazara wafanye hivyo waongeze nyngne kwa juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom