ndughuri msuya
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 2,158
- 3,356
waache kucheza ktk Majukwaa hao viongozi wenu wapeleke chakula huko TurkanaHapana kwakweli, majiran ebu mkalitizame hilo eneo kwa jicho la kipekee nikajua labda wanywa togwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani UD campus!Mkuu hii inajengwa wapi? Alafu why inaitwa Mfugale? Ni designer or owner?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wapi hapa?
Inasemekana yusuf manjiJengo la umoja wa vijana, hivi nani aliuziwa?
By myself [emoji2]
Wakikuyu tu ndo wanabisha kisa mabwana zao waliiba fedha za mabwawa!hali ni mbaya huko kenya. issue ya njaa imefanya mpaka mastaa wao waingie katika kampeni ya kuwasaidia wenzao wanaokufa kwa njaa
View attachment 1048897
Inawezekana maana halina zile rangi ya CCM ila Bushiri si alipitia mali zote chama kabla ya kupewa ukatibu mkuu au hilo hakuliona?Inasemekana yusuf manji
Eti let's feed the starving Turkana? More than 10 counties zinataabika na njaa, inatakiwa iwe let's feed the entire starving Kenyahali ni mbaya huko kenya. issue ya njaa imefanya mpaka mastaa wao waingie katika kampeni ya kuwasaidia wenzao wanaokufa kwa njaa

Tuache unafiki binadamu kufa kwa njaa wakati wengine wachezea chakula sio jambo dogo, ushauri kwa wakenya acheni kubisha katika hili elezeni tu hali halisi tuweze wasaidieni, semeni msaidiwekituo kinachofata ni turkana county na baringo county.
hatuwezi kukubari jirani zetu wanakufa kwa njaa ilhali sisi tuna chakula cha kutosha.
wakenya mjiandae kupewa msaada wa chakula toka tanzania.
View attachment 1049053
Njaa sio kitu cha kuomba lakini MLDC ni kawaida
Njaa sio kitu cha kuomba lakini MLDC ni kawaida
Dah aisee huwezi amini, hii ndio caren sasa, hii ndio west.Njaa sio kitu cha kuomba lakini MLDC ni kawaida
This is the real Kenya that I know!Njaa sio kitu cha kuomba lakini MLDC ni kawaida
Kwa jinsi Kenya ilivyo kwa sasa, Unaweza kuwapa halafu kisifikie waathirika wa njaa! Baadae ukakikuta shelves za Nakumatt!kituo kinachofata ni turkana county na baringo county.
hatuwezi kukubari jirani zetu wanakufa kwa njaa ilhali sisi tuna chakula cha kutosha.
wakenya mjiandae kupewa msaada wa chakula toka tanzania.
View attachment 1049053