Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Japo kuwa naipenda sana BRT lakini hilo jani la kati linavutia sana, ila ndo hivyo kuna siku litaondelea kupisha ujenzi.
Dah ni kweli lazima uzuri upungue kidogo wakiondoa hiyo Garden na miti ila kwenye miti mimi huwa katika living things hakuna kitu kinaniuma mpaka moyoni nikiona mtu anakata mti, lazima wawe na recovery programme ya namna ya kufanya compensation ya hiyo miti kwa kuipanda mipya pembezoni mwa barabara.
 
binafsi huwa naiwaza sana ile miti ya nyerere road,dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…