mr. liguid, mzee wa konki fire yupo kenya anatengeneza pesa.
demand yake ni kubwa sana kenya, ikabidi wakenya waje dar es salaam kuingia naye mkataba wa kibiashara ili awe anafanya appearance kwenye event mbalimbali nchini humo. hii ni poa sana.
hongera sana mzee wa liquidiiiii.... konki fire... isoke isoke... [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122].