Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,212
- 35,595
Barabara zetu zote zina reserve kati na pembeni ya barabaraNaona umehama mpaka mombasa dongo kundu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1026619View attachment 1026620View attachment 1026621View attachment 1026622View attachment 1026623
Building zote michoro yako iko sawa kabisa bro na sijaona shida yoyote katika hiloNi kweli hili silipingi ila wasitutengenezee simple rush design inabidi watutengenezee design bomba hata kama ni vidogo...pia hata ile ya moro inabidi watutandikie building matata konki
Au we waonaje,,,
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1026766
Ishu ya mpaka wa kenya na Somalia. Naona wakenya wapo sahihi. Somalia wanakosea kwa kweli kuhusu ule mpaka.Hongera somalia[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana bro somalia wako sahihi kabisa huwez kata mpaka kwa kwenda juu lazma ukate mpaka kwa kunyoosha mstari wakenya ni watu wanaojifanya wao wajanja dunia nzima kumbe ni wajinga hawana mfanoIshu ya mpaka wa kenya na Somalia. Naona wakenya wapo sahihi. Somalia wanakosea kwa kweli kuhusu ule mpaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka unatakiwa kunyooka straight kwenda kulia kuingia baharini toka kwenye ardhi. Somalia ndo wanapindisha kuingia eneo la Kenya which is wrong.Hapana bro somalia wako sahihi kabisa huwez kata mpaka kwa kwenda juu lazma ukate mpaka kwa kunyoosha mstari wakenya ni watu wanaojifanya wao wajanja dunia nzima kumbe ni wajinga hawana mfano
Hata ukiangalia vita wanavopigana na somalia wapi kimaslahi zaidi nyuma ya mgongo wa marekani
Inabidi tungojee tu mambo yaiveBuilding zote michoro yako iko sawa kabisa bro na sijaona shida yoyote katika hilo
Baba tatizo si mstari kuna area Kenya wameiba toka Somalia!Hapana bro somalia wako sahihi kabisa huwez kata mpaka kwa kwenda juu lazma ukate mpaka kwa kunyoosha mstari wakenya ni watu wanaojifanya wao wajanja dunia nzima kumbe ni wajinga hawana mfano
Hata ukiangalia vita wanavopigana na somalia wapi kimaslahi zaidi nyuma ya mgongo wa marekani
Mpaka unatakiwa kunyooka straight kwenda kulia kuingia baharini toka kwenye ardhi. Somalia ndo wanapindisha kuingia eneo la Kenya which is wrong.
Sent using Jamii Forums mobile app
Baba tatizo si mstari kuna area Kenya wameiba toka Somalia!
Kenya says the ICJ has no jurisdiction in Somalia sea dispute case - JamiiForums
Hio ni kesi ngumu! Ona huu mpaka! Umenyooka?
Hawa watu kila sector ni worse kwao hakuna sector hata moja inayofanya vzr
Worse is worse👇👇👇👇👇
Worse is worse[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
hamna shida, kingereza kitawasadia kusurvive...[emoji16][emoji16][emoji16]
hawa jamaa wengi wao wapo less informed kuhusu mwalimu nyerere,kitu pekee wanachojua kuhusu nyerere ni kuhusu sera zake za ujamaaa nchini tz.[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji116][emoji116][emoji116]
Isotoshe hitaji likija mbeleni, vitapanuliwa! Ikumbukwe reli inahitaji kufika Mwanza na Isaka! Phase tatu bado hazijaanza!Ndugu vituo vya soga na pugu ni vidogo kwasababu ya location yake na pia kwasababu capacity ya abiria itakayohudumia coz hatuwezi kujenga kituo cha kuhudumia abiria 1m wakat capacity yake ni 100k tutakua tunatumia vibaya pesa zetu mm nafkiri serekali iko makini sana kwa hili na wako sahihi