4 Sides of Dar City views, till denying this is the Biggest and the Beautiful City in EAView attachment 1009111View attachment 1009112View attachment 1009113View attachment 1009114
Sent using Jamii Forums mobile app
Sitaman iwe ivyo,kule Kunafaa kukiwa vile mishe mishe zikiwa nyingi kutaharibikaDar ni moto. Masaki na Mikocheni zinaelekea kuwa CBD sababu kuna ofisi nyingi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sitaman iwe ivyo,kule Kunafaa kukiwa vile mishe mishe zikiwa nyingi kutaharibika
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila wasijenge majengo marefu ziwe office za flr 5 tu inatosha, residency area zile
Hili dude ni noma,hii avenue itanoga sana miaka si mingi maana ukitokea Ubungo huku kuna barabara nane, huku kwnd posta barabara ya mwendo kasi, li interchange hilo la ubungo hapa jengo la dawasco hostel za chuo pia open area ya UDSM green moja matata miti tu (washauriwe kuweka park kama vipi) ukidondoka hapa jengo la mawasiliano halijawahi kunichosha hili jengo design yake kwa kweli upande wa pili mlimani city...... Hilo eneo linaloonekana wazi hapo kwny picha nafikiri ni la Aga Khan nje ya kujenga kile chuo kikubwa kule Arusha hapo anataka kuweka campus ya Dar mpango ni kwenda Vertical hatari fire!!!!!Afu hiyo barabara ya Sam Nujoma iko kwny ile project ya JICA ya kupanua barabara ya Mwenge-Morroco BRT ikiwa ndani what more can I say......
๐๐๐๐๐ wananichukia sanaichoboy mtu mbaya, mungiki watakufa kwa presha
Hapo patakuja kuiva hakutafaa kufananisha na mahalHili dude ni noma,hii avenue itanoga sana miaka si mingi maana ukitokea Ubungo huku kuna barabara nane, huku kwnd posta barabara ya mwendo kasi, li interchange hilo la ubungo hapa jengo la dawasco hostel za chuo pia open area ya UDSM green moja matata miti tu (washauriwe kuweka park kama vipi) ukidondoka hapa jengo la mawasiliano halijawahi kunichosha hili jengo design yake kwa kweli upande wa pili mlimani city...... Hilo eneo linaloonekana wazi hapo kwny picha nafikiri ni la Aga Khan nje ya kujenga kile chuo kikubwa kule Arusha hapo anataka kuweka campus ya Dar mpango ni kwenda Vertical hatari fire!!!!!Afu hiyo barabara ya Sam Nujoma iko kwny ile project ya JICA ya kupanua barabara ya Mwenge-Morroco BRT ikiwa ndani what more can I say......
Hatari fire sheikh na lile complex la kituo cha ubungo cha mabasi baada ya kuhama likikamilika!!!!
Alafu magorofa yanadondoka kila mwezi๐๐๐๐๐๐ mzungu anajua sana kucheza na akili zenu
Duhh chuma hicho[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1009352View attachment 1009353
watu wana vifaa !!