Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Yap hio sehemu sasa hvi ni yamoto hata nyumba zimejengwa vzr sana pale zimepangwa kwa adabu
 
Kariakoo hamna kitu ,ni wauza nguo Tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sifa yenu baada ya uchoyo, ukabila, ubinafsi,corruption na uchafu ni kukariri maisha, hii sehemu ya town businesses zinaexplode like crazy sasa we endelea kukariri tu, kariakoo ni kwa wauza nguo, Tanzania ni ya 90s najua ndo vichwa vyenu vinasema hivyo
 
Dah! Maana naona unaweka picha za barabara tu hebu weka zile mitaa za mwinyi na idrissa, hatutaki kuona mapambo ya barabara ,kama wewe ni mwanaume kamili weka makaazi ya huo mtaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umezoea slum za kibera na kariobangi unafkiri kila sehemu kuna slum hebu nioneshe huo mtaa wa idirisaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Umezoea slum za kibera na kariobangi unafkiri kila sehemu kuna slum hebu nioneshe huo mtaa wa idirisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeaona watoto wa kariobangi walivyowatomba leo na kuwapachika uja uzito? We jishebedue tu ,Dar hamna kitu ,ila uswazi Tu,Kwanza wewe ni msee wa gongolamboto au mwananyamala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeaona watoto wa kariobangi walivyowatomba leo na kuwapachika uja uzito? We jishebedue tu ,Dar hamna kitu ,ila uswazi Tu,Kwanza wewe ni msee wa gongolamboto au mwananyamala.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wazee wa slums πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ umezoea sana slums ukajua kila sehemu **** slumsπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sifa yenu baada ya uchawi,kupiga vijembe,uvivu,kushinda vijiweni na kunywa mchuzi wa zeruzeru , umeaona uje hapa utoe povu? Endelea kukariri tu ,ila Nairobi sio level yenu mtakariri hadi kiama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazee wa slums [emoji23][emoji23][emoji23] umezoea sana slums ukajua kila sehemu **** slums[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watanzania akili zao zimejaa ujinga, magomeni imeshikana na manzese na inashikana na mwananyamala hadi ubungo,ni kipi cha kuvijunia hapo? Mwendokasi au nini? Aso haya wala hajui vibaya ,sina mda wako maana wewe unakaa mpungampunga .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sifa yenu baada ya uchawi,kupiga vijembe,uvivu,kushinda vijiweni na kunywa mchuzi wa zeruzeru , umeaona uje hapa utoe povu? Endelea kukariri tu ,ila Nairobi sio level yenu mtakariri hadi kiama.

Sent using Jamii Forums mobile app
Level ya slumsπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ level ya unemployment rate, level ya below poverty lineπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Pumzika na hzi upunguze hasira na jazbaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…