TheCrazy Mchokozi
Senior Member
- Apr 7, 2017
- 181
- 252
Inaonekana zile gold zilizokamatwa zinaenda reserve👏👏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👇👇👇👇
Yaani hii inasikitisha sana, wakati watoto wa kitz wakipata free tuition fees, wenzetu wazazi wanajinyonga mtoto wa form one kukosa ada, sasa sijui huyo mtoto angefika chuo gharama za ada huyo mama angefanya ninimaisha magumu.
View attachment 990550
So unahisi sie ni wapigadebe hatuna kazi za kujiingizia kipato. Unakwama sana
injinia soma hiyoooooooooooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa, mpaka Uhuru ana-launch stima in a mud house with cracks? Si sherehe? Basi tuite kilio..!
Tena ananuka njaaHana jipya huyo, anatafuta connection ya kupata kazi TZ anazunuuka
Zote za mkopo!Hivyo ni vitu vya kawaida tu,KQ ziko ngapi ? Tena Boeing na hatupigii watu kelele.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesoma heading ya uzi lakini?
Hahaha! Naona umekereka Sana na Hilo neno tangible investment? Kojoa kalale maana hata ukifa leo huna will itakayosomwa ,kazi yako ni kukausha pweza pale kivukoni.Huyo engineer fala sana, anachojua ni tangible investment tu
😀😀😀 alitaka washerehekee leased jets! huyu jamaa hamna kituleased aircrafts is what you are talking about, we BUY with our own damn MONEY
Last quarter ya 2017 what was the profit of that company?Zote za mkopo!
kabla uniajiri ajiri kaka zako walalahoi kama wewe mtoane Kwa umasikini wa kutupwa.Halafu wewe engineer uchwara usijilinganishe na mimi niliepikwa kuwa engineer tangu form1. Kama kazi hujapata kuwa direct kuna project nyingi uje ubebe zege maana nkikuweka sehemu muhimu utanipa hasara. halafu wala wewe sio engineer, mpaka sasa kwa post zako nimekuelewa na trust me kichwani wewe ni boya sana
Hahaha! Naona umekereka Sana na Hilo neno tangible investment? Kojoa kalale maana hata ukifa leo huna will itakayosomwa ,kazi yako ni kukausha pweza pale kivukoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari umeipata, usije kuregarega hapa fanya bidii utoke kwenye umasikini.Nimeshakufahamu mwehu wewe kabisa, kumbe umebadilisha id, unawaletea unafki wenzio. wewe ni mojawapo ya watu nliokua nawaepuka kutokana na kupost vitu visivyo na facts
Ila mi nikuambie tu, hii thread kwa sasa kuna utulivu mkubwa sana na kama mtu mzima mwenye uelewa kama unakuja hapa kucompare hiyo nchi yenu na Tanzania tafadhali acha kabisa maana kulikuwa na squad hapa ya wakenya ila leo wako mitini, sasa wewe mmoja usidhani kuwa we can't take you down in an instant.Habari umeipata, usije kuregarega hapa fanya bidii utoke kwenye umasikini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari umeipata, usije kuregarega hapa fanya bidii utoke kwenye umasikini.
Sent using Jamii Forums mobile app