Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji444]wakenya ni wapumbavu ndiyo maana siku zote huwa nasema stupid kenyan hao ingekuwa bongo wangeshachakaa kitambo......ndani ya dk 5

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kikikikik dah eti sio Jiji la baiskeli kama Kisumu hahahah
 
Sure mkuu ulivyoongea hapa ni madini tupu kama wakubwa wanatusikia wauangalie kwa macho matatu mkoa huu waweke mazingira mazuri ili market force inapokuja ikute mazingira yalishatayarishwa utayarishaji wa masterplan ya Moro sijui uko vp ikiwezekana waanzishe mji mwingine nje kdg hata tu kama ni hatua za awali tu kama ilivyo kwa Dom watenge maeneo yote muhimu,kwa advantage tu ya population ya Dar hii SGR ikiisha itakuwa approximately 90 mins uko Moro kuna baadhi wanaweza kuishi Moro mzigo Dar au Pwani kama ilivyo sasa kwa uchache wengine tunaweza kuwa tunakwenda kwa ajili ya vacaee kule milima ya uluguru kufuata good weather,adventure za hapa na pale pia pamoja na zoezi letu lile la baby making!!!Maana kuna wakati Dar joto ni kali sana!!!
 
Hahahaaa... fukuto la Dar huwa linazingua sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi tunaweza kuopt kukaa Moro pia maana Dar dakika sifuri Dodoma dakika sifuri!!!wewe tu!!!!
 
Exactly, Morogoro na Pwani zina fursa kubwa sana hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…