Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya yaagiza mabasi 64 ya mwendokasi baada ya mabasi yanayozalishwa nchini humo KUTOFIKIA VIWANGO! Baadae wataagiza mabasi mengine kutoka China.
 

Pia jamaa ametembea nchi nyingi maarufu sana na anwatambua vizuri. So yuko vizuri kwelikweli, ingawa kuna wanaong'ang'ana na mapungufu yake lakini natamani watu wakumbuke hakuna binaadamu aliekamilika isipokua inatupasa tukubali kujitoa kwake ambako wengine walishindwa. Na pia ukichambua mapungufu ya waliopita kwa umakini utagundua jamaa ndio yupo kamili
 
Tutajua umuhimu wake pale atakapo Ng'atuka
huyu mtu anania njema sana na Taifa letu
yupo vizuri sana
 
hii ndio sababu inayofanya wale wakenya wachache toka kwenye ruling/business families kuja kula bata tanzania katika msimu wa holidays. tanzania kuna vitu vizuri zaidi ambavyo kenya havipo.

zanzibar mouja hiyo.. [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Kenya yaagiza mabasi 64 ya mwendokasi baada ya mabasi yanayozalishwa nchini humo KUTOFIKIA VIWANGO! Baadae wataagiza mabasi mengine kutoka China.
hapo ukute wakikuyu wachache wameandaa mpango wa kupiga pesa ya public kwa maandalizi ya uchaguzi wao ujao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…