Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ahaahahaaha aise sijawah kuona mkenya mjinga kama wewe hahahaha hebu rudia meneo yako
 
Metropolitan area. Ie satellite towns outside the boundaries of a city ie Juja,Ruiru,Kitengela,Rongai etc
So hio haiwezi kuingizwa kwenye urban city area sasa umeelewa maana ya urban city area😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Map of the Nairobi Metropolitan Region as
identified in research literature (UN-Habitat 2010:
168).wacha nitumie kiswahili. hapo kwenye rangi ya kijani kibichi ndipo 690 mraba imefika ila mji umepita hapo hadi wenye hiyo rangi nyekundu hiyo tunaita kwa lugha ya kimombo nairobi metropolitan mahali kiuhalisia nairobi imefika.tunapatana?
 

Attachments

Sasa metropolitan haiingiii kwenye urban city area ni region ambayo iko outside the city area ndio maana nakwamba nairobi city area inaingia Mara tatu kwa dar..tunabishana nn sasa
 
Nimekuelewa na nishakujibu kua hio haipo kwenye area ya urban city area bro ushindani mwingine wakipuuzi
nimekueleza utafute waalimu wakurudishie hela maana hakuna walicho kufunza.ina maana kama mpaka uliwekwa miaka ya 1960 kua mji mwisho utakua huu mto kwa mfano.tupo mwaka wa 2017 ambapo bado sheria inasema mwisho ni uleule mto lakini mji ulikua na kuupita ule mto na wengi huuvuka kila siku kuja kufanya kazi pande zote mbili,upande ule ulioratibiwa kuwa mji ndio mji kulingana na wewe. hapo ndipo metro inaingilia inafaa ukamuliwe kamasi kutoka kichwani kama hujaelewa
 
So from now nairobi is not 696 km sq ahahhahahahhahahahah kumbe google waongo 😀😀😀😀😀😀😀😀aise leo munanipa raha sana🙂🙂🙂
 
Kwa kiingereza huwa inaandikwa rat infested not infestation ambia mwalimu wako wa kiingereza arudishe hela alifanya kazi chwara
Kwa kiswahili fasaha :-
ambia ni mwambie,
arudishe ni akurudishie,
Na chwara ni uchwara.
You see now? Even you can't write proper Swahili. End of the day, I'm not here to show off or compete about who can write better English! What matters was you understanding the question I asked. Instead, you decided to ignore answering the question but picked on trivial mistakes. What an idiot you are!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…