Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

bila shaka katika hao mashabiki maelfu, walikuwepo wale blind patriots wachache waliojiandaa ku sabotage the whole event ila walitekwa na mziki mzuri toka kwa vijana wa kitanzania walijikuta wamesahau kukamilisha lengo lao ovu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Kuna fala moja eti lilikuwa linasema hatuwezi ku afford KFC junk...wakati tunazipita hatutaki hata kuziona
 
Alaf utaskia wanakwambia sisi MLDC πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
MLDC my ass, hakuna masikini wa kutupa kama wakenya. Na bado, misumari anayopondelea JP anawapa taabu kila iitwapo leo.
 
Na phase 2 BRT imeanza juzi nimeona wakifanya vipimo vya barabara kilwa road na nimeskia itakua modern kuliko hii phase one na mabasi yake yatatumia gasπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…