Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Kwa wale ambao hamjui ni kuwa, Tanzania ni ya kwanza East Africa kwa kuproduce mazao ya chakula ila Kenya ni ya kwanza kwa kuexport mazao ya chakula, mwezi march shirika letu la ndege lilikaa na wafanyabiashara wetu waliokua wanaenda kuexport nafaka kenya ili wawe na sera ya pamoja jinsi ya kusolve hilo swala na ndio maana wamekamilisha cargo termina mwanza airport na watafanya hivyohivyo songwe airport na cargo teminal kubwa itajengwa msalato dodoma. Kwa kifupi tukiweza kuregulate usafiri wa anga na majini kwa kuexport vitu kutoka kwetu moja kwa moja hizo hesabu zao za assumptions zitakaribia kwa kiasi fulani kubainisha ni jinsi gani Tanzania ni tajiri until then those accuracy of those statistics is lower than 40%. tunajua ni jinsi gani dalali anavyofaidikaga
 
Taarifa nzuri
 
Na pia kuhusu rank ya jiji la Dar nilijiuliza Kwa nn tunaonekana sio jiji tajiri nikahisi tu huenda kwasababu viwanda vingi viko Pwani na si Dar, au mnaonaje hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…