Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Ichoboy jamaa uko waliko usiku wakilala wanakuota unawakimbiza na upanga [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Sasa hivi hapa barazani tumebaki wenyewe pametulia nakunywa kahawa yangu made in tz bila bugudha[emoji3][emoji3][emoji3]. Watu wana discus maendeleo bila wale vichaa wa upande wa pili kuzingua let's go team tz and show our muscles we are here to stay and show what we got maumivu mpaka 2025[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Juzi hiiiπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡3b usd









Jana hiiiπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ 146b tsh










Leo hiiπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ 234b tsh











Keshokutwa hizi mbiliπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡







πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ Ndani ya siku nne tanzania inafanya maajabu ambayo yangeichukua kenya 20yrs ukichanganya na ufisadi may b 30yrsπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
nyumbu wameamua kurudi kwenye makazi yao ya kudumu... [emoji116][emoji116][emoji16][emoji16][emoji16][emoji122][emoji122][emoji122]
View attachment 972728
WANAKIMBILIA MAENDELEO WASIKIA UZINDUZI WA DAR-KIBAHA NA SARENDER WAMEKUJA KUSHUHUDIA πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mmiliki wa fastjet tanzania bwana masha nae anafanya maajabu hayajawahi kutokeaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Alaf utaskia wanakwambia walijenga kwa plan[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukimuuliza slums zilitokea wapi wanakasirikana kupost picha za congo na nigeria wakisema dar
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…