Wamepewa maelekezo maalum kuhusu project ya Dodoma, hata terminal yake itaacha historiaHii nimeipenda.. ata reli Dar-Dom inge isha kabla ya 2020 ingekua super sana. Nasikia kuna maelekezo ya hilo kutokea, Yapi wamepewa hiyo changamoto.
INGEKUA KENYA MTU ANGEIBIWA VIATU JUKWAANIi remember last three years sauti sol was on fire.. their schedule was tighten with a lot of music shows in europe and america.ilikuwa si jambo rahisi kuwapata sauti saut sol waje watuimbuze tz katika kipindi kama hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka.
ila sasa game yao imeisha na maisha ni magumu kenya so imebidi waje wa perform dar es salaam ili wapate pesa ya kula... bora uhai[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
somewhere in dar es salaam.[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 971655View attachment 971656View attachment 971657View attachment 971658
Hakuna kupumua ila magu atawaua wakenya 😂😂😂😂😂Leo tunabandika 9 lanes project
Kesho tunahamishia majeshi Salander Bridge
BRT Phase ll ijiandae na baadae Mbezi International bus terminal
😂😂😂 sasa waukize metropolitan iko wapi yani sawa na kusema chalinze bagamoyo mkoa wa pwani kwa darUzi umekua mtamu sana.. hamna habari za kuchanganyana za Nairobi ndogo ila Nairobi metropolitan ni kubwa [emoji23], wale jamaa unaeza soma maandishi yao ukaishia pharmacy
ni mwendo wa bandika bandua....tutaelewana tu.
😅😅😅😅 Anawapeleke moto ile mbayaHakuna kupumua ila magu atawaua wakenya 😂😂😂😂😂
ndio maana nafurahia sana wakenya walivyosusa ku-comment.Uzi umekua mtamu sana.. hamna habari za kuchanganyana za Nairobi ndogo ila Nairobi metropolitan ni kubwa [emoji23], wale jamaa unaeza soma maandishi yao ukaishia pharmacy
Ni noma wale jamaa.. wanakutajia counties mpaka machakos ghafla inakua ndani ya CBD [emoji23].. halafu wote wanajitoa ufahamu nakupeana back up kutetea ujinga[emoji23][emoji23][emoji23] sasa waukize metropolitan iko wapi yani sawa na kusema chalinze bagamoyo mkoa wa pwani kwa dar
Kweli mkuu, kwakua tittle ni ile ile na walisha jaribu kupambana kuondoka kwao nikukubali kushindwa.. kwakua tunayo ya post yatabaki milele hii itabaki kuwa kithibitisho kuwa Nai haiwezani kwa Dar. Sasa twende mosi mosi picha za Dar na kwa mbali tutatupia za Korogocho na Kibera [emoji23]ndio maana nafurahia sana wakenya walivyosusa ku-comment.
comment zao zilikuwa zina mislead thread.
kwa sasa watanzania wote tunaoshiriki katika thread hii tuna utulivu sana.
kususa kwao kumetuongezea ari ya uzalendo na umoja baina yetu.
kumetufanya watz tuna deal na main issues badala ya issues za personalities.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kweli mkuu, kwakua tittle ni ile ile na walisha jaribu kupambana kuondoka kwao nikukubali kushindwa.. kwakua tunayo ya post yatabaki milele hii itabaki kuwa kithibitisho kuwa Nai haiwezani kwa Dar. Sasa twende mosi mosi picha za Dar na kwa mbali tutatupia za Korogocho na Kibera [emoji23]
ndio maana nafurahia sana wakenya walivyosusa ku-comment.
comment zao zilikuwa zina mislead thread.
kwa sasa watanzania wote tunaoshiriki katika thread hii tuna utulivu sana.
kususa kwao kumetuongezea ari ya uzalendo na umoja baina yetu.
kumetufanya watz tu-deal na main issues badala ya issues za personalities.
Sure, hawa jamaa walikua wanatuletea takwimu na picha za uongo na wanashupaa kwelikweli. Walichokua wananiudhi zaidi ni pale wanaposhindwa kusoma picha na wanaikomalia mpaka saa zingine unaaza kuhisi utakua mjinga kama wao ukiendelea kubishana nao. wakipewa takwimu kuwa wako vizuri wanajifariji ilhali majirani zao wote wanajua ujinga wao.
Yaani sasaivi kila tunachopost ni facts za kueleweka, na hata ukienda kwenye thread zao huwezi kukosa uongo na ujinga
Kweli kabisa 100%, ukiingia kwenye paper halafu kila swali unalogusa linakua gumu ni lazima uwe wa kwanza kutoka. Au ni kama vile bondia aliekimbia ulingoni baada ya kuchezea ngumi za kutosha, haina haja ya kujitetea umekimbia pambano coz umechezea kichapo heavyKweli mkuu, kwakua tittle ni ile ile na walisha jaribu kupambana kuondoka kwao nikukubali kushindwa.. kwakua tunayo ya post yatabaki milele hii itabaki kuwa kithibitisho kuwa Nai haiwezani kwa Dar. Sasa twende mosi mosi picha za Dar na kwa mbali tutatupia za Korogocho na Kibera [emoji23]