Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wameiba mpaka computer zilizohifadhi data sijui wakenya wapi walimkosea MunguπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡





Mapovu ya wakenya sasaπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ nimecheka sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚







 
hio nchi ndo basi tena
 
hiv kuna alipata feeling kuwa Diamond anadate na huyo mdada muda huu ili a’gain vitu kutoka kwa wakenya? mfano anataka attendance ya concerts zote alizoplan kuperform huko kenya mf wasafi festival..iwe kubwa sana!
we do both bro. music, love and patriotism.

hiyo ndio tofauti kubwa ya sisi na wakenya. spirit ya uzalendo kwa watz kuhusu nchi yetu ipo juu sana.

wakenya uzalendo wao ume-base kwenye ukabila. ukikuyu kwanza, ukenya baadaye... ujaruo kwanza, ukenya baadaye.

hakuna aliyetegemea kuona diamond anazungumzia issue za serikali kuagiza ndege mbili kwa mpigo kwenye post yake ya instagram. kumbuka halipwi, kasukumwa tu na uzalendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…