Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

tutaelewana tu, kama sio kwa kiswahili au kingereza basi kwa kupitia lugha za kienyeji za makabila ya kenya.


let's see in this game who is clever and who is a fool... numbers don't lie...mtajua hamjui.[emoji16][emoji16][emoji382][emoji382][emoji116][emoji116][emoji116]

 
Kwa wale majirani wehu wakikenya hakika mmeishiwa hii ndiye ile nchi mnayoishinda kwa michezo na sanaaa,,,kama msemavyo..""

Kwanza nianze kwa kuwacheka wakenya[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] kisha nitoe hongera kwa dada yetu pia kwa serengeti boys....aisee blessed sana tupo vizuri[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Utawaua [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
asante sana moderator kwa kuifyekelea mbali ile thread ya kichochezi aliyoanzisha kilaza collomzii aka Msapere.

hatuwezi kuruhusu thread za kupandikiza chuki, visirani na mifarakano zitamalaki jf.

chuki zao wazihamishie keny*talk, sio hapa. hapa ni facts tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…