Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Halafu kwao ndo mradi mkunwa na wente thamani kuliko yooote tokea uhuru wao
 
Hawana chakufanya kwasababu hawaamini leo kinachotokea unajua inauma sana kwa nchi iliokua na opportunity ya kuendelea zaidi ya miaka 45 leo inakuja nchi ilioanza maendeleo just 10yrs alaf inafanya mambo amabyo makubwa sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Halafu kwao ndo mradi mkunwa na wente thamani kuliko yooote tokea uhuru wao

Mradi ni mkopo alaf umeajiri wachina 5000 na wakenya 1600 na unaambiwa mishahara ya hao wachina 5000 inaeza ajiri wakenya 15000 na wakaishi maisha mazuriπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ dr ndii aliyasema japokua ni mpinzani lakini aliyasema leo wanamkumbuka
 
Mkenya Yupo Radhi avae suti aende CBD
Auze suraa mfukoni Zero
Jioni anarudi Kibanda Cha Nguruwe kulala
kwake poa sana
umesahau na kingereza.
mkenya anaweza kujisifia uwezo wake wa kuongea/kuandika lugha ya kingereza kwa ufasaha ila mfukoni hana pesa, hana ajira na anapoishi hapana hadhi.

kingereza bila maisha mazuri ni ujinga.[emoji16]
 
kuna jambo muhimu nime notice.
tangu kutoweka kwa wakenya kwenye thread hii, LIKES zimeongezeka.

ni kwamba sasa thread inautulivu ambao hupelekea kutoa nafasi kwa watu mbalimbali kufatilia kila comment kwa umakini na kutoa like.

wakenya walikuwa wanachangia ku-distort muelekeo wa thread kwa kurudia picha za cbd, flyovers, malls na appartments. hii ilisababisha kukosekana kwa likes za kutosha.

tangu kutoweka kwao, wafatiliaji wa thread wanatoa likes willingly.

 
hahahaha....kurudi wanataka ila nafsi zao zinashikwa na haya maana walituaga kwa mbwembwe.

wamebaki tu kukodoa mimacho wakishuhudia uzi ukiendelea kutrend.[emoji16][emoji16][emoji16]
Nimekutag ile thread wamefungua nenda uone machozi yakivowatokaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wanalia na ichoboy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…