Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alaf yalivo mandondocha ona kitu wanashangilia๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
View attachment 969246View attachment 969247
Ndo maana yule mchina alivunja ukimya coz alijaribu kuscan akaona haiwezekani hawa wawe ni binaadamu kamili. Of course wakenya wanahitaji hata tuwainjectie dna ya binaadamu kamili, kwa uboya huu wanahitaji msaada mkubwa
 


Dar city jiji la wajanjaView attachment 969235

Alaf yalivo mandondocha ona kitu wanashangilia[emoji116][emoji116][emoji116][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 969246View attachment 969247



Hii kitu mmefanya ni mbaya sana.

Yaani imeumiza watu,mpaka nimeona huruma.
 
wakenya wa jf hatuhitaji m-comment chochote ktk hii thread kwa sasa, mbaki kutazama picha picha tu na kusoma comment.[emoji16]

tupo katika msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka(holidays). tunajua katika kipindi kama hiki baadhi ya wakenya fedha za za kutosha huja tz kufanya mapumziko.

hizi ni sehemu 15 zenye mvuto wa kitalii ambazo unaweza kutembelea uwapo nchini tanzania katika mapumziko yako ya holidays.

 

Attachments

  • IMG_20181216_100232.jpeg
    82.4 KB · Views: 44
Sasa tunasomeka vizuri tu duniani! Uwepo wa twiga ๐Ÿฆ’ pale nyuma ni tangazo tosha kuboost utalii wetu
Wakenya wanafiki walisema hatuwezi nunua ndege 7[emoji23] [emoji23] na hata zilivokuja bombadier zile waliziita mitungi ya chang'aa. ..
Sasa ndege zinakuja wanasema nn tena?
Reli walisema tuwaonyeshe km1 tu ndio waamini kama kwel..tena kuna mmoja alisema tukimuonyesha 1km ya sgr kuna jambo angefanya lakin bado yupo kimya
 
Inabidi wmatimize alichokisema[emoji2][emoji2][emoji2] ila wapo wengi waliobwabwaja
 
Ndo maana yule mchina alivunja ukimya coz alijaribu kuscan akaona haiwezekani hawa wawe ni binaadamu kamili. Of course wakenya wanahitaji hata tuwainjectie dna ya binaadamu kamili, kwa uboya huu wanahitaji msaada mkubwa
Wakenya ni watu wenye majigambo na sifa za kipuuzi yani wao mambo ya msingi kwa raia sio muhimu zaidi ya kuiga maisha ya wazungu mugabe alisema mkenya ni mtu mwenye kuhamisha visivohamishika ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kwanza Nimependa sana Waondoke kwenye Thread hii maana hawana chakuzungumzia zaidi ya utoto
Sasa nimwendo wa kuwapa zauso
Lazima Wanakodoa mimacho Hahaha
 
Halafu wanadaiwa hadi leo na wachina wapo hadi deni liishe, wanawanyonya damu

Kuna mchumi wao anaitwa dr ndii aliyasema kabla mchina kujenga alisema deni hilo kenya hawawezi kulipa kwasababu pesa ni kubwa sana ukilinganisha na uhalisia ambao hauwezi kukidhi masharti ya kulipa deni hilo alaf pia aliizungumzia tanzania kwa upande fulani akasema kenya imejisahau kuhusu tanzania๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Wakenya ni watu wenye majigambo na sifa za kipuuzi yani wao mambo ya msingi kwa raia sio muhimu zaidi ya kuiga maisha ya wazungu mugabe alisema mkenya ni mtu mwenye kuhamisha visivohamishika ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mkenya Yupo Radhi avae suti aende CBD
Auze suraa mfukoni Zero
Jioni anarudi Kibanda Cha Nguruwe kulala
kwake poa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ