If you don't know much about Nairobi Kenya, just try Google Street view.
View attachment 968046
Wote wamepita kimya na salamaπππakirudi na akabisha nitag plz
Air Tanzania dismisses reports of nearly empty flights on fake it until you make it π
Tunangojea profit hatuna haraka mara tulinunua in cash hatukulease kama kq wanafikiri ndege ni cashew nuts tuna tegea annually profitLol 2 passengers to entebee
hatuna shida ya pesa kama kq tunanunua ndege in cash hahahahahahahaDuh!6pax.kweli achekaye kilema.............
walifikiri ni biashara ya cashew nutsWalijaribu wasichokiwezaView attachment 968401
Aisee tupo vizuri mambo ni kinki
Buses in tz
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]kama kawaida huwa hawakoseagi......[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
π³π³π±π±π‘π‘π‘ kitu ntasema tu. Yaani hata sijui niseme. π‘π‘π‘π‘π±π±π³π³π³ Wakenya tusije tena kujidhalilisha kufananisha mji wowote Kenya na hii takataka kama sio Dadaab ama Kakuma. NKTπ‘π‘π‘
Hao vijana sio wa kuchezeagaπ[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]kama kawaida huwa hawakoseagi......
π³π³π±π±π‘π‘π‘ kitu ntasema tu. Yaani hata sijui niseme. π‘π‘π‘π‘π±π±π³π³π³ Wakenya tusije tena kujidhalilisha kufananisha mji wowote Kenya na hii takataka kama sio Dadaab ama Kakuma. NKTπ‘π‘π‘
NIMEKOMA KABISA KHERI MOD AFUNGE UZI KABISA. WHAAAAAAAT
UkalaleTrue.These brainless ignoramuses only know how to humiliate people by insulting them. low quality insults.
. Mara tumeenda newyork na abiria 24 hao c wameenda entebbe na 6 entebbe hapa tu mtafaulu kweli muulize rwanda airNakumbuka wakiponda KQ humu. Kweli Mungu si athumani.Kuna siku pia walicheka wakenya waliokufa maji haikupita muda mrefu kabla watz wengi hawajafariki kisa kuzama.Ni vibaya mno kucheka wengine wakiwa matatani. Hakuna ajuaye kesho. Ona sasa. Achekaye kilema kwao kipo
Niliwaambia kitambo MBNA mnacompare nairobi na darslum ilihali gdp ya tz inapishana na ya nairobiπ³π³π±π±π‘π‘π‘ kitu ntasema tu. Yaani hata sijui niseme. π‘π‘π‘π‘π±π±π³π³π³ Wakenya tusije tena kujidhalilisha kufananisha mji wowote Kenya na hii takataka kama sio Dadaab ama Kakuma. NKTπ‘π‘π‘
NIMEKOMA KABISA KHERI MOD AFUNGE UZI KABISA. WHAAAAAAAT
In Kenya the highest Post Independent project is SGR worth 3.6b$ na mnadaiwa hadi leo na Wachina while in Tz tumelipa keshi 3.5b$ kwa project ya stiglers hepOffice of the Governor in Nairobi Kenya is bigger than the statehouse in Dar is Slum
View attachment 968045
New city bus dar es salaam[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] kuna mtu kashusha mzigo huo
View attachment 968345View attachment 968346