Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unaongea upuzi tu Mara mtoto mara mdogo...iyo ni sign ya kuisha form...mapicha ziliisha ama....zitafute
Picha za nini unazotaka sema uletewe kama unamawazo ya kufananisha dar na nairobi basi ur wrong bro dar ni jiji kubwa sana tena sana kwa nairobi nilikwambia kusanya nairobi Mombasa na kisumu bado munaishia hapo 1196 km sq, kama una hoja zingine leta tuongee lakin bado kama una hoja ya dar kwa nairobi jibu unalo mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…