Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimekuonesha nilijua hujui tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mambo ya kurukaruka Kwa maji yalipitwa na wakati. Hata watoto hawataki. Hii huko Dar mnafanyia nini!? Splash water world Nairobi iko kufungwa.

Mimi nilipost a talent development center, wewe unanitag na fun city!!??πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ€”

Ningetaka fun, ningekupa vitu kama hivi in Nairobi Kenya



Hizi zipo lakini nani ataenda!!? Watu hawependi.
 
Anything envisioned in Nairobi Kenya must come to pass, no matter how long it takes. This is vision of UAP. By then vice president Daniel Toroitich Arap Moi.

The news today is that, construction of Pinnacle Towers is back on track.

2019, 7 Africa tallest Towers will be raising in Upperhill Nairobi Kenya.
 
povu la omo lakini MlDC = ldc . hongereni majirani kwa kuwa na cheo cha MiDC ila mnaishi ki ldc.tunajua mini kimewafanya muwe midc.
GNI per capita ,life expectancy are higher than yours.
Kenya have low illiteracy levels compared to Tanzania.
That's why you are still an LDC because you haven't met those three criteria
 
Wabe
 
Zipo ila watu hawapendi zipo ziko wapi????????πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…