Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nai ni mwisho. Halafu wanakuja hapa oh sisi hakufuriki yaani hadi kwenye supermarkets maafuriko lmao
Mpaka kwenye bar watu wanakunywa na mafuriko juu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
BBF727B0-51A9-4223-B1F5-E6E6755C6CF1.jpeg
 
Ichoboy, ukishindwa unakubali. Ningeleta SS hapa uone caption ungefunga mdomo. I
Leta nsubiria usilazmishe picha za nchi nyingine ziwe dar no way ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mukishindwa hua munaleta picha za google mukisema dar nawajua vzr sana
 
Back
Top Bottom