Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Luxury car brands that opened their show Rooms in Nairobi Kenya since 2013 include,
1. Porsche Kenya
2. Bentley Kenya
3. Ford Mustang Kenya.
This indicates the level of wealth in Nairobi Kenya.

Remember, there is no any other official Ford Mustang and Bentley business in any other city in East and Central Africa.

Posche show house in Nairobi Kenya
 
Nimekaa dar Sana sijaona barabara ya hivyo hata zile Za tandale,mabibo etc hazipo hivyo
Kale kanjia pale Masaki kupita kwenye duka jipya la Bakhresa unakajua!!? Kalami kalijengwa sijui mwaka gani. Vumbi hadi kwenye jengo la Bakhresa. Jengo ghorofa kama mbili hivi. Nzuri Lakini maandari🤔🤔🤔🤔🙄🙄🙄🙄
 
Sasa eti district 3 kwenye picha. Hajui hata hizo tatu si quater ya NAIROBI. Nairobi ni kutoka Thika hadi Ngong. Kikuyu hadi kitengela. Diameter ya over 60 Km
Atakwambia Kitengela sio Nairobi, alafu huyo huyo atakwambia Nairobi ni 696 sq. Km pekee.😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…