Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Upanuzi barabara ya morogoro road ukiendelea kwa kasi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 956843 8 lanes 16km phase one
Hapa kuna fly overs zitajengwa nimepita juzi, si chini ya mbili. Halafu mkandarasi ni wa ndani, anapiga kazi unaeza hisi ni Strabag! Yajayo yanafurahisha..
 
Mkuu nalifahamu hilo ndiyo maana nikasema zaidi ya 7. Hapo umesahau ya Kigamboni bridge. Pia kwenye New Salenda bridge kwenye mdomo lazima waweke interchange (fly over). Ni balaaa yani Bongo kama Newyork
 
Ni hatari tupu tunataka watu town waingie kwa kuserereka mwanzo mwisho......
 
Lol..... Naona Wale wanafunzi wa darasa la NNE kutoka Kenya wameshindwa na kazi huko bongo.
Ndiyo.......ujue kuna vitu huwa napenda sana kuvisema,,,,,,,if stupid can destroy their brain make sure your IQ it remain to be stupidity,idiot & crazless....[emoji122][emoji122]

Nipe 5 mrembo...
 
Ndiyo.......ujue kuna vitu huwa napenda sana kuvisema,,,,,,,if stupid can destroy their brain make sure your IQ it remain to be stupidity,idiot & crazless....[emoji122][emoji122]

Nipe 5 mrembo...
Serikali haitakuwA inawaruhusu waje wakati wa likizo kuwafunza kiingereza. It's either you people are dunderheads or they don't know how to teach
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…