mda mwingine hata kama unajijua we ni zero basi jitahidi hata kutumia skili ya ziadi uliyozaliwa nayo au hata akili yakuibia,,unapotaka kuziona barabara kupitia picha isiyo eleweka na ikiwa haina ubora ni sawa na kipofu kumuonyesha mtu ambaye si kipofu pesa iliyofichwa chooni[emoji1][emoji1][emoji1]Picha huahazidaganyi nionyedhe hizo highways kea hii pichaView attachment 955172View attachment 955173View attachment 955174
Roho imekutoka buda....[emoji1][emoji1][emoji1]endeleeni kupost thika high way na mombasa road.....hapo ndiyo mwisho wenuToa hizi takataka hapa ata hauna aibu ukionyesha huu uchafu?
Tumia akili. Kwa Key huoni unpaved roads? Kwa map ikoNimekwambia dsm road networks ni 500km here is the evidence sasa niletee nairobi road network ukipata 200km nitag[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
Fact is fact utake usitaki
View attachment 955307
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji28][emoji28]Wakikuonesha nitag [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alafu hii city haiko planned ajeNimekwambia dsm road networks ni 500km here is the evidence sasa niletee nairobi road network ukipata 200km nitag[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
Fact is fact utake usitaki
View attachment 955307
Huna pesa nenda kigali au bujumbula...Hakuna hoteli poa ya rates za 100usd per night?pesa Niko nayo bt ikikuja ni holidays nakuanga strictly on budget.holiday sio kama business trip ati pesa itarudi,hairudi buda....
Yani mtu alivo mjinga na mji ulivo congested anafurahia kuona gari zimenasa barabarani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dar foleni ya kipuuzi kama hio huwez kuta na sasa hvi wanajitahidi kufungua barabara mpya kila leo
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Jamz zimehamia kwa watu a.k.a PRIVATE PEOPLESWe jamaa bhana utawafanya wakimbie kabisaa[emoji23][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6] eti private pipo
ajabu jana kwenye mgomo wa matatu sijaona jam kwa baarabara,.hii inaonyesha wengi hawana magari. Ilipaswa jana ndo PRIVATE CAR ZIJAE KWA ROADS
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
YAO 90% YA KUCHONGA YANA MAPEMBE KAMA NUNGUNUNGU
Hapo hata hawajielewi wanakimbia kimbia tu hawataki kushusha mzigo[emoji1][emoji1]Nimekwambia dsm road networks ni 500km here is the evidence sasa niletee nairobi road network ukipata 200km nitag[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
Fact is fact utake usitaki
View attachment 955307
HAPA NDO NAIROBImda mwingine hata kama unajijua we ni zero basi jitahidi hata kutumia skili ya ziadi uliyozaliwa nayo au hata akili yakuibia,,unapotaka kuziona barabara kupitia picha isiyo eleweka na ikiwa haina ubora ni sawa na kipofu kumuonyesha mtu ambaye si kipofu pesa iliyofichwa chooni[emoji1][emoji1][emoji1]
Labda utasaidie wewe hapa ni nairobi labda utuonyeshe barabara kupitia hii picha
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 955341
So unpaved road ziko chache are they not roads??? Gari hazipiti nimekwambia leta road network ya nairobi ukipata 200km nitag alaf foleni ya kipuuzi kama ile iache kutokea wasikilize wenzako wenye akiliπππTumia akili. Kwa Key huoni unpaved roads? Kwa map iko
Ndiyo mmefungia magari na mmefungulia watu misukule[emoji1][emoji1][emoji1]Kumbe wakenya huwa wamezifungia magari majumbani
View attachment 955343
Leta vigezo kua haiko planned unafkiri nairobi ingekua planned mzungu angewaanika juani kwa kuwapa heshima ya the worst slum in the worldππππππAlafu hii city haiko planned aje
Hii hapa CBD unaeza sema harufu ya bomu ilipitaππππππππNAOMBENI AREAL VIEW YA JIJI LA NAIROBI KWATIKA UORA WAKE NIONE MAJENGO YA MAANA
Hapo ishaisha....hiyo ndiyo town yao na hiyo picha ni yakaribu sana ngoja niipate ile yenyewe iliyomaluza jiji zima na hadi vichaka vyaoHAPA NDO NAIROBI
π³π³π³π³π³π³π³ NDO MJI UMEISHA AU?? MBONA NAONA MBUGA TU NA VIJENGO KIDUUUCHU