Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Moro to dom the modern electric train in africaπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Okey,ukifika hapa mjni sehemu za kutumia mapene utazifaham tu kwa upande wa makazi fikiria zaidi maeneo ya mikocheni Au Sinza,kama umejiunga na uber inakua rahisi au pia unaweza tumia usafiri wa tax wa kawaida,kwa bei zako izo unapata lodge nzuri sana hapa Dar lodge sio bei kubwa hata...
Kwakua umetokea Nbo ingekua vizur ukae maeneo ambapo Ni karibu na bahari beach hivi inakua poa zaidi...pendelea mikocheni,mbezi beach Au hata masaki /oysterbay unapata lodge kwa bei yako bila shaka
 
Nimekuuliza na hayo majengo ni ya ngara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nijibu bila kupanic
Tafuta kamba buda yani unapewa stress na kenya siku yote uko news ya kenya.
 
Tafuta kamba buda yani unapewa stress na kenya siku yote uko news ya kenya.
Nimekuuliza hayo majengo ni ya ngara πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hutaki kujibu hamutaki kuambiwa ukweli hvi ndio nairobi CBD hua bila ya makeupπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Ooooooohhhh shit!!!..indicators for failed states,mtu anaamua hakuna matatu cbd,na huku alternative hana!!..illiteracy is real in nairobians,

Nairobi is pathetic..
Hata ile only BRT waliamka asbuhi wakaanza kuchora barabara na kupoteza pesa za tax payersπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wakajua BRT ni kama kula andazi
 
Buda sina time na wewe...kenya itakua milele wewe utakufa uwache kenya..uko news ya kenya from 6am - 12am kila siku...stress itakuaa..nugu
 
Kwa upande wa TANZANIA mambo ni moto tunazidi kuona Jiji la Dar es salaam likirndelea kuboresha na kuunda miundo mbinu mipya kwa upande wa barabara ili kupunguza jamz barabarani na hakika mipango na project zinaenda sawa nakufanikisha tatizo la jamz kupungua ....

Ila chakusikitisha kwa upande wa majirani zetu kutoka kenya jiji lao la nairobi limekuwa ni jiji chafu na lipo hoi bin taabani na hii yote ni kwasababu wamefel mioango na wameishiwa mbinu na kufanya kajiji ka nairobi kawe kamejifinya eneo moja nakuzidi kuzalisha majobless kadri siku zinavyozidi songa...


KIDOGO TUPATE PUCHA KADHAA ZA MODERN CITY DAR ES SALAAM CITY..KONKI
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Buda sina time na wewe...kenya itakua milele wewe utakufa uwache kenya..uko news ya kenya from 6am - 12am kila siku...stress itakuaa..nugu
Itakua when kwa maisha gani??? Labda kwenye slums, hunger, unemployment rate, below poverty line, gap btn poor and rich, corruption, police killing, etc bila kusau ile laana mlioachiwa ya wiziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Itakua when kwa maisha gani??? Labda kwenye slums, hunger, unemployment rate, below poverty line, gap btn poor and rich, corruption, police killing, etc bila kusau ile laana mlioachiwa ya wizi[emoji23][emoji23][emoji23]
Haha kenya uko news yake kila saa hauna ata aibu..live your life dude
 
( " you dumb fool, leave me the hell alone " ) Is this the English you learnt in Seattle ?.
Acha kukariri lugha za watu..sasa hapo kakosea nini?..wakenya bwana english haipo kenya pekee you gotta know..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…