Mbona wakosoaji wapo wengi tanzania na hawajachinjwa we ulishawah sikiza bunge la tanzania????ππππWapi hao watu wameshikwa shida yako n nn we nilikuambia david ndii angekuwa tz magufuli angekuwa tayari amemchinja tanzanian haina opposition na democracy ndio maana unashinda kwa social media ya kenya ukisave na kudownload tweet za wakenya kenya kuna democracy ndio maana ndii anaongea vle anataka huko kwenu ukibweka kidogo magufuli amefinya makende kenya middle income na tz ldc mbona hamuelewi
The only thing I like about Jpm ni kusema na kutenda 2020 Kura yangu anayo tayariJIRANI POVU RUKSA NINA NGUO ZA KUFUA - MAKTABA YAZINDULIWA LEO
June 2 2016 Rais John Pombe Magufuli aliweka jiwe la msingi ujenzi wa Maktaba mpya ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam ambacho Mkuu wa Chuo hicho ni Rais mstaafu Jakaya kikwete.
Ujenzi wa maktaba hiyo ya kisasa umeshaanza ambapo umefadhiliwa na Serikali ya China na utagharimu zaidi ya dola milioni 40 na eneo la ujenzi ni mita 200, maktaba hii itakuwa kubwa na ya kisasa kupita zote Afrika na inatarajiwa kujengwa kwa muda mfupi ambapo makandarasi wa maktaba hiyo wanatoka China.
View attachment 948014View attachment 948016View attachment 948017View attachment 948020View attachment 948021View attachment 948023View attachment 948024View attachment 948035
Tundu lissu alifanyiwa nn na magufuli hahahaha hakuna nioneshe kama ndii huko tz hata uganda kuna bunge na nyinyi na Uganda ni dictatorshipMbona wakosoaji wapo wengi tanzania na hawajachinjwa we ulishawah sikiza bunge la tanzania????ππππ
Dr ndii akisema ukweli munamuona mjinga leo nchi imeingia kwenye shimo la mavi kila mmoja anamtafuta mchawiπππ
Nipe ushahidi kua tundulisu alifanyiwa na magufuli ukiniltea ushahidi nafunga account jamii forum sasa hviπππTundu lissu alifanyiwa nn na magufuli hahahaha hakuna nioneshe kama ndii huko tz hata uganda kuna bunge na nyinyi na Uganda ni dictatorship
Mulimuua na kumkatakata kabla ya siku mbili uchaguzi mumesahauπππππTundu lissu alifanyiwa nn na magufuli hahahaha hakuna nioneshe kama ndii huko tz hata uganda kuna bunge na nyinyi na Uganda ni dictatorship
Picha nzuriNairobi old cbdView attachment 948179
Mna CBD moja sana sana upper hill atleast ndio bado miaka 20 nayo iwe CBD acha kutupumzikia
Enjoy dictatorship polepolePicha nzuri
Westy ni kubwa sana ukilinganisha na hizo cbd zingine.....by the way Westlands ni eneo bungeMna CBD moja sana sana upper hill atleast ndio bado miaka 20 nayo iwe CBD acha kutupumzikia
Akileta manufaa na maendeleo ya tanzania anakua dictator haha mwaka huu mutaita majina yoteπππππEnjoy dictatorship polepole
So westy in ukubwa gani au hio avic ndio ishakua CBD mbona before avic hamkuita CBDπππππWesty ni kubwa sana ukilinganisha na hizo cbd zingine.....by the way Westlands ni eneo bunge
HahaEnjoy dictatorship polepole
ππππ acha ajidanganye tuMna CBD moja sana sana upper hill atleast ndio bado miaka 20 nayo iwe CBD acha kutupumzikia
Compare hizo picha mbili alafu uniambie ni gani nomaMna CBD moja sana sana upper hill atleast ndio bado miaka 20 nayo iwe CBD acha kutupumzikia
Inakuingia akilini kweli???? ππππWapi hao watu wameshikwa shida yako n nn we nilikuambia david ndii angekuwa tz magufuli angekuwa tayari amemchinja tanzanian haina opposition na democracy ndio maana unashinda kwa social media ya kenya ukisave na kudownload tweet za wakenya kenya kuna democracy ndio maana ndii anaongea vle anataka huko kwenu ukibweka kidogo magufuli amefinya makende kenya middle income na tz ldc mbona hamuelewi
Usifanye masihara na vyupa vya Mzizima kakaCompare hizo picha mbili alafu uniambie ni gani nomaView attachment 948294View attachment 948296
Alisema anaishi kijijini na hana exposure....so we understand himCompare hizo picha mbili alafu uniambie ni gani nomaView attachment 948294View attachment 948296
Upperhill si ya kuchezea msee......mzizima makwapaUsifanye masihara na vyupa vya Mzizima kaka