TYWIN LANNISTER
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 854
- 209
Vizuri sana unapoint hapo lkni huu mwaka hatujapokea msaada wa chakula halafu angalia global hunger index 2018 uone nani ako na njaa zaidi Kati ya kenya na tzHakuna kitu kinachodhalilisha utu wa binadamu au heshima ya nchi, kama kukosa chakula Mara kwa Mara hadi kulazimika kupewa msaada. Tangu Kenya ijipatie Uhuru wake 1963, haijawahi kujitosheleza kwa chakula, kumekua na kubadilika kutoka mwaka hadi mwaka, ikitokea mwaka huu kuna chakula, mwaka unaofuata lazima mtahitaji chakula cha msaada.
The country which got all support from western countries for many years but you still don't have food. Your colleagues who got the same support from western countries are, South Korea, Singapore, Israel and Malaysia, look at them now.Lol. A country with everything at their disposal still lagging behind. Witchcraft is real.
Govt stage terror attacks acha rumours na ndotoWhat about those who you killed in West gate and thousands other Kenya who are dying daily through government stage managed terror attacks, do you eat them?
Which support are you talking about tz a country which has all the mineral wealth has remained one of the poorest in the world when it is counterparts like Botswana southafrica na Namibia are upper middle incomeThe country which got all support from western countries for many years but you still don't have food. Your colleagues who got the same support from western countries are, South Korea, Singapore, Israel and Malaysia, look at them now.
Kenya hamna food security, yaani Leo mnaweza kuwa na chakula mingi sana, kesho tu watu wanakufa njaa, hamna mipango endelevu ya upatikanaji wa chakula.Vizuri sana unapoint hapo lkni huu mwaka hatujapokea msaada wa chakula halafu angalia global hunger index 2018 uone nani ako na njaa zaidi Kati ya kenya na tz
Tanzania receives more donor funding from western governments than kenya plus your mineral wealth you should be developed nowThe country which got all support from western countries for many years but you still don't have food. Your colleagues who got the same support from western countries are, South Korea, Singapore, Israel and Malaysia, look at them now.
You got all support from western countries during era of cold war, you received capital, technology, and direct investments, and markets for your goods and agriculture produces. We were under sanctions from western countries.Which support are you talking about tz a country which has all the mineral wealth has remained one of the poorest in the world when it is counterparts like Botswana southafrica na Namibia are upper middle income
Container mbili
Wana scandal ya maize inanukaKenya hamna food security, yaani Leo mnaweza kuwa na chakula mingi sana, kesho tu watu wanakufa njaa, hamna mipango endelevu ya upatikanaji wa chakula.
Kwa ufupi ninyi Kenya nchi yenu ni nchi ya hovyo sana, ninyi mumeamua kujifanya private sector kuwa very strong zaidi ya serikali yenu, matokeo yake private sector ina manipulate biashara hata katika upatikanaji wa human basic needs for their own benefits.
Who told you a country can develop through donation, only through investment, technical and technology support, and investments, that is exactly what Kenya got from western countries, but because of your stupidity, you failed to utilize them effectively while your colleagues did.Tanzania receives more donor funding from western governments than kenya plus your mineral wealth you should be developed now
Mabandani street kumbe nanyi mnazoNgong road phase 2 expansion coming up nicely View attachment 946057View attachment 946058View attachment 946059View attachment 946060
Nafikiri unaelewa kenya ni 89% arid only 11% is good for agriculture na huu mwaka hatuna shida any ya chakula private sector is important for a country economic growth ndio tuko na middle class strongKenya hamna food security, yaani Leo mnaweza kuwa na chakula mingi sana, kesho tu watu wanakufa njaa, hamna mipango endelevu ya upatikanaji wa chakula.
Kwa ufupi ninyi Kenya nchi yenu ni nchi ya hovyo sana, ninyi mumeamua kujifanya private sector kuwa very strong zaidi ya serikali yenu, matokeo yake private sector ina manipulate biashara hata katika upatikanaji wa human basic needs for their own benefits.
Ukitumia iyo $1.90 kuna uafadhali gani?When the bar is set at 1.90$ per day Tanzania has 70% compared to Kenya's 35%View attachment 946113
Tell me more about those investments in kenya so that i learn from you tz has all mineral wealth you could have also utilized them effectively like your colleagues didWho told you a country can develop through donation, only through investment, technical and technology support, and investments, that is exactly what Kenya got from western countries, but because of your stupidity, you failed to utilize them effectively while your colleagues did.
Acha ujinga wenu ninyi, private sector must be regulated, other wise it can manipulate the market. Serikali lazima iwe na full control ya bidhaa za msingi na muhimu katika maisha ya wananchi, kama afya(Obama care), elimu, upatikanaji wa chakula cha uhakika kwa bei nafuu.Nafikiri unaelewa kenya ni 89% arid only 11% is good for agriculture na huu mwaka hatuna shida any ya chakula private sector is important for a country economic growth ndio tuko na middle class strong
Wakati wa cold war, hata kama tungechimba hizo minerals, tungeuza wapi?, kumbuka wanunuzi wakubwa walikua ni western countries ambazo hazikutaka kufanya biashara na socialists countries, hata machines za kuchimba madini, technology na kila kitu hatukupata.Tell me more about those investments in kenya so that i learn from you tz has all mineral wealth you could have also utilized them effectively like your colleagues did
Investments, capital, technology, access to western markets.Which support?
Haya ndio maneno yenu kila mwaka tangu 1963 "We are in the process of ensuring that we have food security", 55 yrs now the same narrative, how many years do you need to complete that process?You should be concerned wya country and leave Kenya alone. We are in the process of ensuring that we have food security whereas your country doesn't have it as we speak .
Asante sana nyanyangu, ila nchi yenu ni kituko hapa Africa. Truly failed state.Acha ujinga.