Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mimi ninatumia data za UN, wewe unapiga propaganda za Jubilee, soma data hii usikie uchungu
Overview
Unemployment rate
Tanzania 26.9%
Kenya 36.7%
Jubilee ni ww ebu leta data zote za un kati ya kenya na tz tucompare anza na quality of life tukienda kwa poverty polepole bla wasiwasi tuseparate facts from rumours leta data zote za un kuhusu kenya na tz
 
Jubilee ni ww ebu leta data zote za un kati ya kenya na tz tucompare anza na quality of life tukienda kwa poverty polepole bla wasiwasi tuseparate facts from rumours leta data zote za un kuhusu kenya na tz
Overview
Hii hapa ni data ya poverty level, Kenya mna population 36.7%, Tanzania 26.9%. Ninyi ni masikini sana. Ninakuletea zingine soon baada ya kukubaliana na hii.
 
Dar es salaam in Tanzania is a small town. It is as big as Kisii Town in Kenya
Screenshot_20181125-095006.png
 
Kwahiyo kama umekubali kwamba wakenya ni masikini kuliko Tanzanians, hayo mengine yaliyobaki kwangu sio muhimu sana.
Umepanic bratha umeingiza baridi mapema aje c tulikuwa tunacompare kenya na tz kwa kla sector kulingana na un MBNA unakuwa kigeukigeu umepeana sector mbili ambazo zna wafavour halafu ukakunja mkia umeniangusha sana bratha ndio nasema penye kenya inaongea tanzania inafaa wafunge mdomo muache kelele mpishane na ldc wenzenu kama drc congo na sudan na uganda kenya ni ligi soo mtajua hamjui kenya has high quality of life kuliko tz kenya has better education than tz number 2 after Zimbabwe in Africa infrastructure hamfikii ligi ya kenya gdp ya nairobi ni tanzania yote kama unashida unitag ama kama hauamini enda kwa un penye umetoa poverty levels na unemployment wakulambishe lolo
 
Back
Top Bottom