joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
According to Jubilee propagandalist s kama wewe Tanzania ipo nyuma, lakini dunia nzima inajua kwambaWacha kutupima akili hapa kwani tz hakuna crime slums hunger na corruption na mbona basi kwa hdi mko nyuma ya Kenya
Nieke nukta basi ukishindwa kujibu swali kimyaSasa huu ni uandishi gani? Yaani hata kuweka nukta kutenganisha sentensi umeshindwa?
hakuna kitu unaniambia niambie point yako nikutumia google shida iko wapi ntaenda hell kwasababu natumia google kwani Google ni ya kazi gani kenya has a higher quality of life kuliko tz najua hamupendi ukweliAnhaa kwa hiyo Wi-Fi ya bure ndo inakufanya usiwe unatumia akili yako,wewe ni Google tu,huna muda wa kufikiri ni mwendo wa Google tu..
Safi sana, hii ripoti inasema Kenya population below poverty line ni 35.6%(2016), na Tanzania ni 26.7%(2016). Nenda kojoa ukalale.
Endelea kupiga domo wakati ripoti za WB zinakusutaHyo pia ungeuliza world bank MBNA waseme Kenya iko na maisha mazuri kuliko tz
Source ni ccm hardliner....lolAccording to Jubilee propagandalist s kama wewe Tanzania ipo nyuma, lakini dunia nzima inajua kwamba
1)Tanzania has enough food for its people
2)Tanzania has low unemployment rate
3)Tanzania has better public Hospitals
4)Tanzania has better security
5)Tanzania has narrow gap between rich and poor
6)Tanzanians has enough safe water
7)Tanzanians do have better houses
Hayo ndio mambo muhimu kwa maisha ya binadamu, na vyote hivyo tumewapita tena kwa mbali sana
Poverty is measured by class....an LDC rate isn't same as a non LDC.........now where are your middle class and we beat you in HDI.....Safi sana, hii ripoti inasema Kenya population below poverty line ni 35.6%(2016), na Tanzania ni 26.7%(2016). Nenda kojoa ukalale.
Kipengele kipi nikupe source yake?, au nianze namba moja hadi mwisho?Source ni ccm hardliner....lol
jubilee ni wwAccording to Jubilee propagandalist s kama wewe Tanzania ipo nyuma, lakini dunia nzima inajua kwamba
1)Tanzania has enough food for its people
2)Tanzania has low unemployment rate
3)Tanzania has better public Hospitals
4)Tanzania has better security
5)Tanzania has narrow gap between rich and poor
6)Tanzanians has enough safe water
7)Tanzanians do have better houses
Hayo ndio mambo muhimu kwa maisha ya binadamu, na vyote hivyo tumewapita tena kwa mbali sana
Hayo sasa nenda bishana na hao WB waliotoa hizo ripoti, ila kwa sasa the statistics on use is, Kenya 35.6%, Tanzania 26.7%[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]Poverty is measured by class....an LDC rate isn't same as a non LDC.........now where are your middle class and we beat you in HDI.....
Hahahahaha. Hamuwezi hata kujitosheleza kwa chakula, hamuwezi kujenga hata kilometer moja ya SGR kwa pesa yenu, kila kitu mnakopa, very poor public transport systems, very poor public Hospitals. Hamuwezi kushindana na Tanzaniajubilee ni ww
Na according tu the world kenya has better infrastructure than tz Kenya has better education than tz we have better healthcare than tz we have a larger middle income than tz and Kenya has high quality of life than tz
Source umetoa tu kwa feelings zako......where are your sources...you too shallow and emotional ama shule ilikuwa unasomea dirishaniHahahahaha. Hamuwezi hata kujitosheleza kwa chakula, hamuwezi kujenga hata kilometer moja ya SGR kwa pesa yenu, kila kitu mnakopa, very poor public transport systems, very poor public Hospitals. Hamuwezi kushindana na Tanzania
wapi ndio ripoti za worldbank zinanisuta acha za ovyo hakuna KTU tz inashinda Kenya ndio maana hyo world bank inasema Kenya ni middle income na nyinyi in least developedEndelea kupiga domo wakati ripoti za WB zinakusuta
Acha kujichocha sgr tunajenga na imefika naivasha na tumekopa pesa na tunajenga SAA hyo inakuhusu aje ww c mkenya hautalipa deni ama umesikia Kenya imeshindwa kulipa deni tafuta point nionyeshe place healthcare ya tz imeshinda ya KenyaHahahahaha. Hamuwezi hata kujitosheleza kwa chakula, hamuwezi kujenga hata kilometer moja ya SGR kwa pesa yenu, kila kitu mnakopa, very poor public transport systems, very poor public Hospitals. Hamuwezi kushindana na Tanzania
Na hawapendi ukweliThe boy is just delusional. Living in denial is a burden by itself.Leave him to drown in fatigue.