Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Akiprove we nitag tu broπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Asichojua nikuwa hizo nchi ni ndogo na pia zina population ndogo sana, hasa Botswana. Mimi na marafiki wengi niliojenga nao Mbweni wanafanya kazi Botswana na Namibia. Nisawa na watu wanavyosema Rwanda iko developed sana bila kuzingatia kuwa nchi yao na miji yao midogo sana.
 

Mbona tayari mushatangaza kuuza hamuna pesa ya budgetπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 

Hana akili huyoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna mkenya mmoja alisema all sectors in kenya zinafanya vzr hii habari nafkiri itamfurahisha sanaπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘πŸ‘πŸ‘
From 5.3 to 1.9 heheh sio mchezo

hyo c mbaya ichoboy kenya power ni kampuni ya serikali aim yake ni kupeana service kwa mwananchi cku make profits na juzi tu ndio walishusha gharama ya stima serikali itawabail tu ucjali
 
hyo c mbaya ichoboy kenya power ni kampuni ya serikali aim yake ni kupeana service kwa mwananchi cku make profits na juzi tu ndio walishusha gharama ya stima serikali itawabail tu ucjali
Sio kufanya kazi kwa faida πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘ ni sawa na kq ndege za kukodisha mwenye ndege anasubiri hesabu yake mwisho wa alaf loss inakula nyama ya wakenya zaidi ya 5 yrs nowπŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ‘πŸ‘
 
you were right my brother imagine someone saying Tanzania is more developed than botswana and namibia i quit this is their game and their rules i cant win not this way i surrender
Huu hapa mji mkubwa wa Botswana Gaborone. Ndo uko more developed. Hapa ndo center ya mji.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Siku nyingine usije ukasema kuwa Botswana or Namibia they are more developed than TanzaniaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Wanaposema they are more developed wanakuwa wanaongelea GDP per Capita labda. Kinacho favour hizo nchi mbili nikuwa wana population ndogo sana kiasi kwamba wana import even experts kwenda kufanya kazi kwenye hizo nchi.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ They are many Tanzanians working in those countries as experts. Botswana serikali inakupeleka kusoma nje for free. Ukifika Malaysia wa Botswana wengi wanalipiwa bure na serikali kusoma huko. Because population yao ni ndogo sana
 
Haya sasa nioneshe link kua mushatoka kwenye failed state naisubiriπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘ leo kutamu sana humu
Mm cna link yeyote ww Google ukipata Kenya kuja unicheke na mbona hii failed state iko na high quality of life kuwaliko ebu nieleze bro
 
you were right my brother imagine someone saying Tanzania is more developed than botswana and namibia i quit this is their game and their rules i cant win not this way i surrender
Nakuwekea Population ya Botswana na Namibia ili uweze kujua kwa nini GDP per capita yao ipo juu kuliko ya Kenya na Tanzania. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡Lakini ukija kwenye infrastracture za miji na GDP hawafiki hata roboπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hapa tunawapa elimu ya bure. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Rwanda inazidi Population Namibia na Botswana mala tano(Γ—5)πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ I always say Kenyans hamzunguki kwenye nchi nyingine za Africa.
 
Sio kufanya kazi kwa faida πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘ ni sawa na kq ndege za kukodisha mwenye ndege anasubiri hesabu yake mwisho wa alaf loss inakula nyama ya wakenya zaidi ya 5 yrs nowπŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ‘πŸ‘
Bora wakenya wapate stima 24hrs faida na hasara za kplc znawahusu aje
 
Kq iko sawa kulease ndege c mbaya inamake losses lkni haijaanguka cku itaanguka ndio itakuwa issue lkni kama bdo inaenda newyork itaanza kuenda Mogadishu mwaka ujao iende telaviv hakuna la kushutua wakenya
 
Ha Hacha kuongea sana. Angalia unemployment rate kati ya Tanzania na Namibia alafu niulize kwa nini? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ Tatizo mnaongea bila kuwa na facts. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Le me show you how winery is done in Tz,
At this you have a long way to Go

Winery industry in tz starts at the Central [emoji1241], these are few from
Infinity Wine brands from outstanding grapes [emoji524] grown in semi arid fertile soils of Dodoma.
Beautiful people, beautiful moments,
 
Angalia uemployment rate ya Botswana compare na TanzaniaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Alafu sema they are more developed than TanzaniaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Jua pia Tanzania tupo na population kubwa sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Leo nakupa elimu ya bure.
 
Mkuu hachana na huyo El Matador. Bado analandalanda toka ajiunge na JF. Tena sikuhizi kapunguza video za YouTubeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
You have made my day and night are you comedian sasa unagoogle vtu halafu unanishow umeenda ebu nieleze ulikuwa gaborone kufanya nn inafaa ufahamu kuwa botswana ni landlocked na 70% ya botswana ni kalahari desert na at independence it was one of the poorest countries in the world lkni walipofahamu wanadiamond walitumia vizuri kujijenga saa hii is one of the most prosperous countries in africa better than south africa illetracy is real my freinds
 
Mm cna link yeyote ww Google ukipata Kenya kuja unicheke na mbona hii failed state iko na high quality of life kuwaliko ebu nieleze bro
Ahahahah basi ikiwa huna maana yake hanujatoka kwenye kundi failed state world wide sasa pamabaneni na hali zenu kwanzaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…