Wikendi njema Mkuu mi nimeenda kukata maji leo ikiwa furahiday, wewe endelea kukaza mishipa kwa hasira ukibishana na Wakenya walioko Nchi yamaziwa na asali.Of course wakenya sio mchezo, wengi wao sigara nyota. Sisi Tz hatuvutagi hizo sigara
wacha kutudanganya mchana wapi kenya gani alshaabab walingia wakatoka na vichwa 50 za askari
kwenye syllabus ya Kenya kuanzia primary kuna history za Africa zote kuanzia Egypt hadi south Africa halafu mkifika kidato cha nne kuna history za dunia mostly the world wars so chunguza kwanza before ubonge hapa uongoTz hatuna maringo hata kidogo.... Na kiukweli yaonyesha kabisa mpo zero kihistoria...
Hauja nijibu swali nionyeshe mahali ambapo al shaabab walingia Kenya wakatoka na vichwa hamsini za askariUmezaliwa 2017??
Wikendi njema Mkuu mi nimeenda kukata maji leo ikiwa furahiday, wewe endelea kukaza mishipa kwa hasira ukibishana na Wakenya walioko Nchi yamaziwa na asali.
kwenye syllabus ya Kenya kuanzia primary kuna history za Africa zote kuanzia Egypt hadi south Africa halafu mkifika kidato cha nne kuna history za dunia mostly the world wars so chunguza kwanza before ubonge hapa uongo
tumefanya wapungue nguvu hyo c kubrag ukicompare SAA hii na miaka sita iliyopita al shabaab wamepunguza makali hyo in fact ama umesikia shambulizi kubwa LA al shabaab Kenya hivi majuzi ni ukweli tu c kubragHakuna mtu huwacheka,tunawashangaa mnaposema mmewatandika alshabaab na kuwafanya wapunguze nguvu as latest updates,hakuna kifo!!!
Hii sio siasa haifai ku brag katika media.
Hauja nijibu swali nionyeshe mahali ambapo al shaabab walingia Kenya wakatoka na vichwa hamsini za askari
Miji kama arusha mwanza inafaa yakuwe yakingaa kama Durban na Pretoria c ati Mara mwanza inapishana na kisumu cjui arusha na Mombasa kwasababu MNA kla KTU ambacho South Africa wako nacho
Weh....that clip rekindled the 2007 memories......But as Kenyans we learnt our lessonNjoo upewe Kenya
tumefanya wapungue nguvu hyo c kubrag ukicompare SAA hii na miaka sita iliyopita al shabaab wamepunguza makali hyo in fact ama umesikia shambulizi kubwa LA al shabaab Kenya hivi majuzi ni ukweli tu c kubrag
Pole basi bwana mkubwa inakaa nimewaonea hapo kwa south Africa naomba radhi mbona basi msikuwe kama nchi kama Botswana ama Namibia wako mbele sana kimaendeleo c mko na gold diamonds huge gas reserves gemstones tanzanite yote mko nayo nataka tu unipe jibu mwafaka halafu ntapotea jamii forum mileleUsijifanye mwehu ndugu.
Twende na takwimu za kawaida SA wanazalisha dhahabu pekee kiasi gani kwa mwaka???
Hyo ndio ukweli ndugu yangu al shabaab wamepungua nguvu pia mnaweza waita friendly al shabaabab vs tz army tuone kuta endajeBro narudia tena wacha hii.
Hyo ndio ukweli ndugu yangu al shabaab wamepungua nguvu pia mnaweza waita friendly al shabaabab vs tz army tuone kuta endaje
Pole basi bwana mkubwa inakaa nimewaonea hapo kwa south Africa naomba radhi mbona basi msikuwe kama nchi kama Botswana ama Namibia wako mbele sana kimaendeleo c mko na gold diamonds huge gas reserves gemstones tanzanite yote mko nayo nataka tu unipe jibu mwafaka halafu ntapotea jamii forum milele
Hii Durban ni kadogo bana..WE JAMAAA NI MAKALIO KWELI HEBU NIONYEWE NAI KAMA HII (DURBAN TUView attachment 943894View attachment 943896)View attachment 943877
View attachment 943878View attachment 943880View attachment 943882View attachment 943883
Aah hapana hapo umetuonea sana kdf imeangusha wengiHiyo ndio friendly mumeita kdf na alshabaab???mbona wamewaonea sana,hakukuwa na tathmini kabisa.
Kdf 2-alsh 8